Kisa cha kweli, ni mshikaji wetu twashirikiana kwa mengi. Yupo ndoani yapata miaka zaidi ya kumi. Miaka ya mwanzoni mambo yalikuwa mswano, lakini sasa mchizi anajuta.
Kiaina sio kwamba ana life tafu la hasha, vimijengo kadhaa kausafiri kakumsogeza hapa na pale amejaaliwa, upande wa sabuni ya...