Biashara yeyote hasa ya reja reja kama huwez kaa wewe mwemyewe,au mke,au mme au mtoto lazima tu uta ibiwa tu. Ko kama huwez kaa mwemyewe cha msingi target faida yako kwa mwezi kama itafika basi relax maisha mengine ya endelee
Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio.
Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa.
Naomba kwa amabae...
Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya
Habari wakuu...
Nimepangiwa Internship apo Hospital ya mkoa wa Mbeya, naomba kujua fursa ambayo zipo mkoa wa Mbeya naweza kuzifanya huku niki endelea na internship ya mwaka mmoja,kiasi changu cha pesa ni milioni mbili ivi.
Tutashukuru kwa mrejesho wako... although miaka ya nyuma kwetu hili zao lili shamiri...kilichokuja ua hili zao ni kuwa watu walikuwa wanakopeshwa pesa za kulima tumbaku kwa vikundi...so ndani ya kikundi kuna baadh ya members walikuwa wakizingua hawalimi kulingana na hela waliopewa mwisho wa siku...
@dronedrake ashawahi kuoa...sema upepo wa kule ulimuendea kushoto ndo maana anakata ndoa [emoji3]
Tunaomba utupe story yako juu ya ndoa tujifunze [emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.