Recent content by kinumi

  1. kinumi

    JamiiForums Tanzania Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

    Songea kitu kinapuliza kinoma
  2. kinumi

    JamiiForums Tanzania Kwa umri wake, nadhani huyu ndio mrithi wa Dkt. Magufuli 2025

    CCM kama wanataka kijana makini basi wamuandae MTAKA jamaa yupo makini na ana busara sana
  3. kinumi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa mkoa wa Mwanza kufungua akaunti maalumu kwaajili ya kukusanya rambi rambi. Tujiandae kutoa kwa upendo

    Jamaa wana roho ngumu kweli kweli tutoe pesa nyingine wazitafune hapana ujinga kwenda sio kurudi
  4. kinumi

    JamiiForums Tanzania Fly over ya Tazara kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu wa Agosti 2018

    Kama wanadhani hii kitu itapunguza folen tazara wamechemka ndio wameiongeza subiri mtajionea wenyewe
  5. kinumi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wanachadema anapoguswa Mbowe Mnageuka mbogo.?

    Sasa hivi bora mbowe kuliko jiwe nani wa kumpiga jiwe ndani ya chama chenu jiwe ndio kila kitu
  6. kinumi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Engine ya gari inatetemeka na kuunguruma sana

    Kwenye matumizi ya mafuta tazama injection yake Wenda imejaaa uchafu inashindwa kufunga na kufungua kuruhusu ewa inayoitajika kwenda kwenye engine pia nozel zake umezisafisha kipindi gani oil unatumia original au za kuungaunga vyote vinaweza kusababisha gari kura mafuta kama ccm wanavyokura...
  7. kinumi

    JamiiForums Tanzania Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

    Mtazame Mtoto wa Mwenye nchi kitu kilivyotokeza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
  8. kinumi

    JamiiForums Tanzania Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

    Chato
  9. kinumi

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

    fika sehemu moja tandika panaitwa Maputo hapo ni hatari mtaa mzima wezi kuanzia mjumbe wa Nyumba kumi mpaka mtoto wa miaka kumi
  10. kinumi

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

    Buguruni kwa kimbengenye [emoji119]
  11. kinumi

    JamiiForums Tanzania Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Mtoto Jojo tumekusikia
  12. kinumi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la makubaliano na Barrick, Serikali litoleeni ufafanuzi

    sio Noah tena hesabu zilishabadirika Suki nyingi sasa hivi Pigia hesabu za Balimi 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. kinumi

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Jitaidi kutumia kichwa kufikiri japo kidogo itapendeza
Back
Top Bottom