Uongozi wa mkoa wa Mwanza kufungua akaunti maalumu kwaajili ya kukusanya rambi rambi. Tujiandae kutoa kwa upendo

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,968
Nasikiliza U FM hapa wanasema uongozi wa mkoa wa Mwanza utafungua akaunti maalumu kwa ajili ya kukusanya rami rambi za misiba iliyotokea kutokana na ajli ya kupinduka kwa kivuko chaMV Nyerere katika ziwa victoria. Ni jambo jema tujiandae kutoa rambi rambi zetu kupitia akaumti hiyo
 
Mtuonyeshe kwanza zile za tetemeko zilitumikaje ndio tutachanga
 
Nasikiliza U FM hapa wanasema uongozi wa mkoa wa Mwanza utafungua akaunti maalumu kwa ajili ya kukusanya rami rambi za misiba iliyotokea kutokana na ajli ya kupinduka kwa kivuko chaMV Nyerere katika ziwa victoria. Ni jambo jema tujiandae kutoa rambi rambi zetu kupitia akaumti hiyo
Kwani huo uongozi haujajiuzulu kwa kosa la aliyeokolewa leo?

Walah sema wataforce watu na makampuni kuchangia na kupeleka payingsleep ofisini

Vinginevyo

Kwa mtu mwenye akili zake hakuna wa hiari atakayewapa wao waje waseme wanazipeleka kwenye mbio za mwenge
 
Back
Top Bottom