Recent content by Kinte

  1. K

    JamiiForums Tanzania Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Hii ya ghorofa ina vyumba layout plan yake ikoje? Ina vyumba vingapi? Inaweza kugharimu kiasi gani. Kama fedha zipo inawachukua muda kukabidhi kazi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mkuu vipi ulipata mnunuzi kutoka Kenya? Au uliuza kwa aliyetaka kununua kwa Kilo? Ninakaribia kutoa tikiti, naomba uzoefu wako kwenye soko..
  3. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Haya matokeo Kimla ni ya Mitaa tu, hayawezi kuleta picha yote ya Morogoro mjini, tungepata updates za sehemu zingine ingekuwa poa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Ndio utakapoona kuwa maisha yetu ni kudra za mwenyezi Mungu tu. Hata hao ambao wana uwezo kiasi cha kumiliki au kukodi chopa, hawawezi kuhakikishiwa 'immediate rescue' kama tatizo litatokea. Uhai inabidi ulindwe kwa gharama yoyote ile, watu wa uokoaji inabidi wawe na vifaa vya kwenda 'terrains'...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Huu ni upuuzi, badala ya kutushawishi tumchague, anazungumzia kuwabana watendaji, hizo pot holes kwenye barabara zingekuwapo kama angekuwa anajua kuwabana watendaji? Pathetic!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Hao watu wanatafuta maji ambayo CCM imeshindwa kuwaletea katika miaka 50+ ya utawala, ahadi mpya itahitaji karne ngapi kutekelezwa?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa akiwa Katesh, jimbo la Hamang mkoa wa Manyara

    Dr.Slaa kama ataanza huu upuuzi nitampuuza sana. Hata kama alikuwa na sababu binafsi za kumpinga Lowasa, lakini yapasa atambue watu ndio waliobadilika. Kujaribu kufanya mambo kinyume kutaonekana wazi lengo lake halikuwa kuwakomboa watu. Kujaribu kuutetea mfumo uliokandamiza watu kwa miaka yote...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UKAWA Kakola (Mgodini) leo uwanja wa shule ya msingi

    Afadhali siku hizi umeujua ukweli!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika kwenye hatihati kupoteza jimbo

    sasa kama wewe ni Gamba si ufurahi tu atapoteza, kwa nini unalia lia hapa?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Mh.Lowasa yaisimamisha Chato ya Magufuli hivi leo!!

    kwani wewe ulilipa nini kujiandikisha kiasi kwamba iwe vigumu kwao kuandikishwa?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli zi zaidi ya obama

    Kama wewe mwenyewe umechoka hata 'title' ya 'thread' haieleweki, utatushawishi vipi kuiamini habari yako? Haya mambo kama mnaelekezwa mchambue kwanza mnayoambiwa kuleta, sio mnakuwa kama roboti!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete kulalamika majukwaani

    Unapokuwa na Rais ambaye hatambui kama ni Rais. Huyu ilibidi tumshtaki kwa kutotii katiba aliyoapa kuilinda.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nami nina neno

    what's this? are you mentally challenged?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza Lasagna

    kati ya misosi ninayopenda kuila basi ni huu!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    Kazi nzuri sana Kamanda, msiuzime huu moto mpaka 2015! Jitihada za kuconquer maeneo yaliyobaki zifanyike!!
Back
Top Bottom