Rais hatakiwi ataje bali aamulishe. Anatuambia sisi tufanye nini na ndiye tumemkabidhi vyombo vyote vya dora?! Kauli ya rais huwa ni amri, hatakiwi kudhani au kupayuka. Aliwahi sema anawajua wauza madawa ya kulevya na hakuchukua hatua hadi leo. Siku si nyingi, kijana wake akahusishwa ha tuhuma hiyo. Leo rais mzima, tena publicly, anatuambia watanzania mwenye Richmond Lisu ndio anatembea naye. Kwa maana fupi anamjua na hachukui hatua! Anafanya u rais ni kijeba, kwa kujibizana kama kwenye kanga za akina mama! Na si watanzania tupo kimya tu! Kweli sasa sishangai Maisa yetu yalivyo.
Mwana falsafa mmoja aliwahi sema "you are who you are...." Maana ya kuwa ulivyo/tulivyo in reflection ya uhalisia wake/wenu. Hii in sahihi. Tupo tulivyo kwa mizaha yetu. In mzaha wetanzania, ulio MOA Kikwete urais, in mzaha wetu tuna hali duni za maisha huku tukiwa na utajili mwingi lakini hayuishi kulalama. Lakini kwangu mimi suala si raisi Kikwete tu, bali sisi watanzania wote kwa ujumla wetu maana ndio tulimuweka madarakani.
Amen