1. Mnyika hakuwa waziri wa maji, kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali na Mnyika kapiga kelele sana za uhaba wa maji jimboni Ubungo kila mtanzania anajua hata kama haishi Ubungo. Kwa hili mpe adhabu waziri wa maji prof Maghembe
2. Mnyika hakuwa waziri wa ujenzi, hili nalo unae wa kumwajibisha ambaye ni John Pombe Magufuli usinpe kura yako.
3.Kuwa karibu na wapiga kura ni kuitisha vikao na mikutano ya hadhara, kwa hili Mnyika kafanya sana na kuhusu simu yake tatizo wewe ukipiga unataka pesa ndo maana alikublock.
4. Kati ya wabunge wasio na ushindani mkubwa ni Mnyika, Dr. Fenella ni miongoni mwa watendaji waliotumia vibaya madaraka mfano alilifungia Mwanahalisi na mahakama ikasema hakuwa sahihi na matokeo yake serikali italipa mabilioni ya pesa zetu.
Kama una akiba ya unachotaka kujua,unakaribishwa tena ila nikukumbushe,kabla ya kupost fanya research usije hapa kama unatutest sisi malofa na wapumbavu. Akili tunazo za utambuzi.