Recent content by kinondoniilala

  1. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Hivi bifu lao na Suti Bega la kuchukuliana Mabwana limeishia wapi??? Ila Darisalamu Kuna heka Heka sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kupitia mfumo wa ESS

    Mimi Maboss wanaokataa kuingia kwenye mfumo ili KUHAMISHWA watu huwa nawashangaa Sana. Mtu kaona fursa kwenda Taasisi A yenye kulipa vizuri na mshahahara mzuri na Marupurupu mazuri anapata wapi ujasiri wa kuzuia usihame??? Yaani kakuchorea mstari Kwamba usivuke zaidi ya hapa...ukivuka tu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Janeth Rithe: Sasa hivi ukiingia kwenye siasa ujikane tu nafsi yako, kuna watu wamejifunza kuua na sisi tunatakiwa kujifunza kufa

    Robert Heriel Mtibeli tutegemee uteuzi wako lini?
  4. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Ila Darisalimu hii tabia ya Wanaume kufukunyuana mtaroni imezidi Sasa...siku hizi hata lodge na guest za Darisalamu kukuta vidume vinapelekana lodge au guest kuchukua chumba ili wakafunyukuliwe mitaro imekuwa kawaida sana. Inasikitisha sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Ila Darisilamu ukikutana na Dume limevaa Kanzu mtazame mara Mbili Mbili unaweza Kuta Hana rinda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Huyu harudii tena

    Sawa. Haina Shida...Sisi ni People tutakutana...Sirudii Tena. Nisamehe
  7. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Mtungi Hauna gesi
  8. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nilikuwa Bar Moja ya Mtaani nikakuta wameweka hiyo kitu halafu kumbuka ilikuwa ni weekend
  9. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Emmanuel Nchimbi sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba

    Hivi waliohusika na MC Pilipili waneshafikishwa katika vyombo vya Dola,???
  10. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Naona Baby Zembwela kama MC aliamua kujiweka pembeni kabisa na mambo yao...hakutaka kabisa hata kuvaa hiyo kanzu Adela nae nimemuona hakutaka kabisa kuvaa Madera na vijora, aisee Hawa watangazaji wapewe maua yao naona wanajiheshimu sana Hata Adela hakutaka kabisa kucheza hizo nyimbo za Taarabu
  11. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Inasikitisha sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nilikuwa sehemu napata Moja baridi Moja moto, nikakuta wameweka hiyo chaneli
  13. K

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Noel safari hii naona wamemficha
  14. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Biashara (Business Studies) Tanga tuliahidiwa kuendelezwa kimasomo, sasa hivi wanatukataa

    Mwalimu ni wa masomo ya Biashara. Halafu Hana Biashara hata Moja anayoifanya
  15. K

    JamiiForums Tanzania KFC SIELEWI kabisa

    Saratani za baadae hizo watu wapige hela
Back
Top Bottom