Inaonekana rafiki wa mme, Huyo Jamaa anafahamu aovu ambayo rafiki yake huyafanya ndio maana akamtetea namna hiyo,
ila rafiki wa mke huyo wivu umejaa Kila Kona ya mwili wake, ndio maana anaamua kufanya usaliti ili kuisambaratisha ndoa ya rafikiye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.