Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,905
- 13,301
Mie nilikua sehemu na mshkaji wangu tunapiga stori mara txt ikaingia, ile kucheki naona nimetumiwa laki mbili, kujaribu kuiangalia ile namba siijui.
Mshkaji akanishawishi bhna akasemaitakua kuna mtu kakosea namba tu.
Basi tukaitoa haoooo tukaenda kuitumia( si unajua tena pesa ambayo hujaitarajia)
Nakumbuka siku hiyo tulitumia 150, kesho yake nipo kwa mama ntilie napiga supu simu ikaita kuchek boss wangu, akaniambia jana alinitumia hela kwa ajili ya kununulia materials na nauli ya kwenda site,.
Niliishiwa pozi nikamjibu tu niliipata boss