hehemnyalu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 703
- 691
JK si ndio katuachia hili jiwe?


nimekusoma mkuu wengine akili zimebaki za kuvukia barabara tu nyingine zimeshasizi


JK si ndio katuachia hili jiwe?


nimekusoma mkuu wengine akili zimebaki za kuvukia barabara tu nyingine zimeshasizi


Ok![]()
Malisa Godlisten
www.jamiiforums.com
Acha jazba za kikeNimpuuzi sana bora
Wewe isifie mwache yeye aiponde.Jamaa haoni raha bila kuiponda serikali
umasikini wako wa akili ni wako pekee , usitake wote wawe kama weweKwa ni hivi akiponda serikali fb na insta ndo anajipatia kipato? Mbona tupo kibao tu ambao hatukubali yanayofanywa na serikali ila kuishia kulalamika tu hakusaidii chochote
Huko USA ma pro life walalamika kweli account zao zinapigwa pini daily...Sasa hivi facebook wanafunga kweli account zinazorepotiwa kama za "uchochezi "
Aliyechana kitabu cha bajeti?Nimpuuzi sana bora
Pole sananimekusoma mkuu wengine akili zimebaki za kuvukia barabara tu nyingine zimeshasizi
![]()
Kuambiwa ukweli sio kuponda serikali...Jamaa haoni raha bila kuiponda serikali
Unaukana ufalme wa Mamako!!!!Acha jazba za kike
Ndio maana kuna patrice lumumba malcom x, martin luther king jr G malisa alafu kuna wewe na wastaarabu wenzioKwa ni hivi akiponda serikali fb na insta ndo anajipatia kipato? Mbona tupo kibao tu ambao hatukubali yanayofanywa na serikali ila kuishia kulalamika tu hakusaidii chochote
Jamaa haoni raha bila kuiponda serikali
aKama mlivyosikia ile account ya Malisa GJ kule facebook ndivyo hivyo.
Tusichezee mamlaka jamani.
Lakini kwa kuwa yuko pia humu JF hakuna shida.
Jamaa haoni raha bila kuiponda serikali
Pole sana