Recent content by kingzeddy

  1. kingzeddy

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

    Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula. Je, hili linaashiria nini...
  2. kingzeddy

    JamiiForums Tanzania Mama anaenyonyesha kunywa P2. Kuna madhara?

    Kwa kifupi: ndiyo, kuna madhara ⚠️ P2 (Postinor 2) haipendekezwi kwa mama anayenyonyesha, hasa bila ushauri wa daktari. Madhara yanayoweza kutokea Kwa mama: Kichefuchefu, kutapika Kizunguzungu, maumivu ya kichwa Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi Kubadilika kwa kiwango cha homoni Kwa mtoto...
  3. kingzeddy

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi gani uliwahi kumsingizia shetani mpaka ukajishangaa?

    Ngachokalhee[emoji38][emoji38]
  4. kingzeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Jamaniii anibless Mimi. Sitamwambia mtu
  5. kingzeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyu wa tigo tu naomba namba yake. Siamini
  6. kingzeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tunamuombea apone haraka
  7. kingzeddy

    JamiiForums Tanzania Msada: Usajili wa gari

    Chuma imesimama ila namba sasa[emoji38][emoji38][emoji38]
  8. kingzeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe kila mtu anaona raha upande wake

    Ukiwaza hivi taratiibu utamsupport lokole[emoji38][emoji38]
  9. kingzeddy

    JamiiForums Tanzania Msada: Usajili wa gari

    Ndugu zangu hivi inawezekana kusajili upya gari? Mfano kutoka Namba A to E?
  10. kingzeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

    Mtafute uwe unajipakulia tu
  11. kingzeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Insider Man nisipokukuta mbinguni nakata rufaa.. Mimi siwezi acha utamu nikawahi hospital[emoji847]
  12. kingzeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mm mfuga mbwa. Hizo breed zina wivu. Yaani akiona attention imehama ana anza kua mental. So anachoona kina muharibia anakiharibu. Ndo pale unakuta kala mtoto.
Back
Top Bottom