Recent content by Kingugwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    kanywe juisi ya ukwaju ukojoe ulale....
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    unauliza majibu ndugu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    Binafsi sijampigia kura Magufuli, ila naona akifanya yale niliyokuwa nayataka yafanywe na ukawa namuona akiyafanya kwadhati kwelikweli.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ufisadi bandari na mabehewa: Kamati Kuu ya CCM yawakingia kifua Sitta na Mwakyembe

    Kama ni hivyo basi usalama wa Magufuli ni mdg sana. ccm mtaji wao mkubwa ni umaskini wa watanzania, Magufuli ana nia nzuri kutuondoa ktk dimbwi hili kwainavyoonekana!
  5. K

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Unatakiwa utafakari hoja sio kupuuza hii nimesikia kwa zaidi ya watu kumi wame sense kitu kama hicho... Hili jambo ni serious kwa mustakabali wa Taifa letu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Thinking aloud: Magufuli ni Chaguo la Mungu

    Kwakweli naanza kumuelewa, kwajinsi anavyowavua nguo ccm Hahaha Magufuli ni ni zaidi ya azimio la Arusha. Jk anavuliwa nguo hadharani soon Jk atairudisha remote control kwa mwenyewe hali ni mbaya sana kwa familia ya mzee wakuchekacheka na kukenuakenua tuu....
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    ccm wapo kimya sana...
  8. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Kwakweli Mh Rais aombewe yupo hatarini sana katikati ya dimbwi la wanyang'anyi.... Sijampigia kura ila anafanya mambo kama mpinzani, anafanya zaidi ya mpinzani.... Magufuli ni Sokoine zaidi ya Nyerere.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Hee jiwe limekupata wewe kumbe?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jumamosi irejeshwe kuwa siku ya kazi ofisi za umma

    Kwenda zako kule nani kukuambia jumamosi ni siku ya saba? Fanya utafiti vzr sio unalishwa matango pori unajimezea mengine sumu.... Tupige kazi mpk jumamosi ikibidi jumapili mbona waislam wao wanaenda job ijumaa.. .
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atinga Kahama kusalimia watu waliofukiwa kwenye machimbo

    Yesu aliposema kondoo wangu, kwaurefu wa akili yako ulizani anamaanisha kondoo mnyama mla nyasi? Teh teh teh teh teh halafu unajiweka ktk la kundi la great thinkers pole Sana. Kumuelewa lowassa yataka ubongo unaofikiri kwa haraka na kwausahihi... Kajipange upya kumkabili lowassa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CHADEMA Kulazimisha Marehemu Mawazo Aagwe Viwanja vya Furahisha

    Kwanini mnaogopa mkusanyiko wa UKAWA? ccm acheni uoga... Kama mmeshinda kwa halali mnahofu ya nini ili Hali mnamtaji wa kura million 8? Lowasaaaaaaa!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Sitta Hakuhudhuria Hafla za Kuapishwa kwa Waziri Mkuu na Hotuba ya JPM?

    Nimepita kwake nimesikia mtu analia kwa uchungu sana, huku akisema hata mimi hata mimi, sauti ilikua niya mtu mzima marika ya S6 mwanaume.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tulichokunywa na kula Ikulu Chamwino

    Teh teh teh teh teh
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

    TV magogoni king'amuzi bumbuli remote msogaaaa....
Back
Top Bottom