Recent content by kingsaula

  1. K

    JamiiForums Tanzania naitaji adsense

    habar wakuu naitaji non acc ambayo inabarua na aina violation policy yyte ila km unayo njoo pm na biashara yetu ni face to face nipo dsm utasema ulipo nitakufuata Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

    kwel mke na mama ndo watu muhimu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina PHD nimechukulia Paris Naombeni ushauri niowe mke wa level gani ili tusisuembuane?

    dah kwel watu mpo makini umu ndani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa bia ya kwanza mpaka ya sita, mambo huwa hivi...

    umeonah apa ndo nipo ya kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki used.

    nenda kupatana.com zpo nyng tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya kununua

    Nashida na TVS,PLATINA,DUMA,BOXER na aina zingne ambazo ni simple kwa ajili ya matembezi iwe kwenye hali nzuri burget ni lak 7 to 1 mil inategemea na chombo nipo temeke dsm(wailes) nichk 0718163740
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wacha tuviwekee vyuma grisiii viachie

    naskiaga burudan nikipata ivyo vitu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un: Marufuku pombe na muziki Korea Kaskazini

    dah iv movie ys jumong si ndio kwa kiduku????
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dr Shika amekamilisha leo malipo ya bima kwa ajili ya kutumiwa fedha zake kutoka nchini Urusi

    mm bado siamin km uyu mzee ana mkwanja mrefu ivyo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukwepa deni

    haaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukwepa deni

    sio km sitak kumlipa tatizo amefanya chuo kizima wajue mana duce ni chuo kidogo sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukwepa deni

    daruso wamesema hawawez kumsaidia maana sheria za chuo haziruhusu maden ya mtaani kudaina chuo so aende maakaman
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukwepa deni

    apana shaid tena sio km alinipa zote pamoja alikua ananipa elf 20 mara 10 ndo zikafika izo na ni mwaka jana ameona chuo tumepata BOOM ndo ananiganda anadhan nitampa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukwepa deni

    amana mkuu msaada naomba
Back
Top Bottom