Mimi nadhani tatizo mojawapo ni kwamba waTanzania wengi wanaoishi nje ya nchi hawana tabia ya kuambizana pale panapokuwa na fursa kwenye nchi fulani. In short we dont share opportunities. Tunaona ni bora kusaidia ndugu waliopo nyumbani kwa kuwatumia ela kuliko kuwajenga in a more sustainable...
Hongera sana kwa kuwa na uthubutu mkuu. Una eneo kubwa, jaribu kuendesha miradi mbalimbali midogomidogo ili uweze kudistribute risk. Kama ufugaji mbalimbali, horticulture etc. Nenda mdogomdogo usisubiri mpaka upate limtaji likubwa. Hii itasaidia kujifunza mambo mengi na kujiandaa vizuri zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.