Swali nauliza

Swali nauliza

Vuta subira utaolewa, ila na wewe umezidi kuweka vigezo na masharti mengi...

Fanya haya:

Punguza vigezo, hususani cha kuwa na kazi maana walio na kazi wengi hawataki kuoa.

Punguza masharti, acha ukilanja wewe ni mwanamke tu, hutakiwi kumendesha mwanaume kama mwanamke mwenzio,

Kuwa na haya, acha conservative ideas zako za shule,

Kama hujaolewa ni tafute nikuoe
 
kwanini asiolewe?..kwamba America menopause au?...jlo na miaka 50 kaolewa ...sembuse huyu 32?...mkuu acha maswali ya kitoto
Ke akiwa na pesa hawezi kosa mme, tena huko majuu ndiko balaa mambo ya haki sawa. Ndoa ikivunjika "marioo" anapata mgao wa fedha tamu toka kipato cha ke.

Rejea talaka ya Madona na kiserengeti chake, madona nusura ajinyonge, shukuru marioo wake akaamua kulegeza kamba
 
Unaolewa vizuri tu kwa umri wako bado kijana.
Lakini tegemea kupata mwanaume aliyekuzidi umri.

Naimani umepitia mengi sana na una mengi unayawaza lakini sasa hivi akija mwanaume wa umri chini yako akawa haeleweki(sharobaro)basi USIKUBALI KAMWE KUOLEWA NAE.

Kwa sababu yeye atakuwa anaona bado anakula ujana wakati wewe unataka kutulia kwa kupumzikia ile mishale iliyokukosa,hapo ndo mahusiano siku mbili yanaisha wakati lengo ni Ndoa.

Jiandae kupata mwanaume ambaye ana umri kama wako na aloyekuzidi,sana dana aliyekuzidi hapo utatulizwa.

Na pia ishu sio kuolewa,ishu ni kudumu kwenye ndoa.

Mwanamke mwenye ndoa moja kwa miaka 10 ni bora kuliko mwanamke mwenye ndoa 5 kwa miaka 10 hiyo hiyo.

Hivyo umakini unahitajika sana.
Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
 
duuuh noma sana

Umetoa ufafanuzi mzuri sana kama ataufuata.

Tena hapo kwa umri huo atulize akili. Maana akiteleza tu; anakwenda kuwa mke wa pili au ataenda kwa mgane.
Unaolewa vizuri tu kwa umri wako bado kijana.
Lakini tegemea kupata mwanaume aliyekuzidi umri.

Naimani umepitia mengi sana na una mengi unayawaza lakini sasa hivi akija mwanaume wa umri chini yako akawa haeleweki(sharobaro)basi USIKUBALI KAMWE KUOLEWA NAE.

Kwa sababu yeye atakuwa anaona bado anakula ujana wakati wewe unataka kutulia kwa kupumzikia ile mishale iliyokukosa,hapo ndo mahusiano siku mbili yanaisha wakati lengo ni Ndoa.

Jiandae kupata mwanaume ambaye ana umri kama wako na aloyekuzidi,sana dana aliyekuzidi hapo utatulizwa.

Na pia ishu sio kuolewa,ishu ni kudumu kwenye ndoa.

Mwanamke mwenye ndoa moja kwa miaka 10 ni bora kuliko mwanamke mwenye ndoa 5 kwa miaka 10 hiyo hiyo.

Hivyo umakini unahitajika sana.
 
kwanini asiolewe?..kwamba America menopause au?...jlo na miaka 50 kaolewa ...sembuse huyu 32?...mkuu acha maswali ya kitoto
Unapata wapi ujasiri wa kufananisha maisha ya bongo na ya unyamwezini ?
 
Of course ataolewa tu na atazaa.

Cha kufanya ajishughulishe na mambo ambayo yana faida kwake. Mfano kipato chake... aongeze side hustle... aongeze elimu. .Ajipende.. avae heshima... ajiheshimu sio ajigawe jama karanga kwa kila mwanamme anamuona kama ni potential husband.

Ajiweke karibu na Mungu pia.
 
Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Katoto kazuri nilikuwa nakuwaza sana, ila kama umefika 32 basi nimeghairi, nakupotezea.
 
Siku hizi pesa ndo inaoa kama ela zipo ata bibi anakuita baby
 
Back
Top Bottom