Recent content by kingora

  1. K

    JamiiForums Tanzania Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

    Baptist alisoma O level
  2. K

    JamiiForums Tanzania Walichokosea Balton na Watengezaji wengine wa Green house kwa maeneo ya pwani/Dsm

    inawezekana sio Balton as office ila ni wafanyakazi wa Balton kwa wa Tz tunapenda rahisi unapewa bei ya ofisi unaona kubwa jamaa anakuambia nipe 8 M ntakutengenezea mwisho wa siku analaumiwa Balton. Kwa epert walio nao Balton ukienda kiofisi hautalalamika
  3. K

    JamiiForums Tanzania TRA mmekutwa na nini?

    Nimelipa tarehe 20/7/2017 mpaka jana tarehe 6/11/2017 sijapata leseni mpya
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huuu wimbo wa Linex ulikuwa unanitoa machozi.

    Unaitwa Salma amemshirikisha Diamond Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

    Marehemu John Mjema Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Mwalimu Adico Mwakibinga zamani Don Bosco, Hill Crest na Tuusime jamaa anajua Hisabati na Geography sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Viwavi Jeshi (Armyworms caterpillars) wa aina ya ajabu washambulia mashamba ya Mahindi

    Namna ya kuwadhibiti hawa wadudu ni kupuliza Belt, Match au karate
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viwavi Jeshi (Armyworms caterpillars) wa aina ya ajabu washambulia mashamba ya Mahindi

    Majivu hayawezi kuwazuia au kuwaua viwavijeshi hawa, Majivu huwa tunatumia kwa Maize stalk borer ambae anafanana na hawa viwavijeshi ila yeye hana alama ya V kichwani.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rashid Abdalla Makwiro a.k.a Chid Benz Afunguka Ya Moyoni

    Ungo bado umetingishika wapande wakarekebishe tena, bado inaleta picha za chenga chenga
  10. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST ya 2015 sokoni.

    We ndo hujaelewa, wanamaanisha imetengenezwa 2003, hawaangalii imeingizwa lini Tz
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Environmental health sciences vs Diploma in Clinical Medicine

    Muulize yeye alitamani kuwa nani? Ukipata jibu utajua aende Diploma au Bachelor
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Si usubiri baada ya wiki atarudi kuomba msamaha
Back
Top Bottom