Recent content by kingMsuya

  1. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania MAJIBU MDA SAHIHI WAKUOA AU KUOLEWA HUJACHELEWA #YaiTV

    Hili swali limekuwa likiulizwa sana nawengi kukosa majibu sahihi au kubakia namajibu ya kwao
  2. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA CHANGAMOTO NI MTAJI?#YaiTV

    Wanadamu tungeacha kulaumu, kulalamika na kuamua kumtegemea Mungu asilimia mia na kujuwa changamoto tulizo nzo ni mitaji hakika tuyaonayo leo juu ya Technolojia ingekuwa zaidi ya hapa tuonavyoona Tekinolojia ubunifu wa mambo mbalimbali huanzia kwenye Changamoto na anayeamuwa kutafuta suluhisho...
  3. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania HUJALOGWA

    Watu wengi hupenda amini Nguvu za kishirikina na mambo ya kichawi wanasahau kuwa mambo mengine yako ndani yao fuatilia kujuwa hatima yako na uache kusingizia umelogwa
  4. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania GEUZA KOVU KUWA USHUHUDA #YaiTV

    Ukiona mtu ana Kovu waweza muliza ilikuweje hiyo hubakia kama kumbukumbu yakilichotokea siku za nyuma ila wako wanaendelea na maumivu mioyoni kwa kuliona KOVU sasa leo Geuza kovu kuwa ushuhuda na si maumivu Endelevu Songa mele una Hatima Njema hata Yuda alithibitisha makovu kwa Mesia ile ilikuwa...
  5. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania Tajirika na Kuku

    ***TAJIRIKA na KUKU*** "Fuga Kibiashara" MTAZAMO unaamua 90% ya MAFANIKIO. Imekuwa kawaida kwa Watu kuwa na Hii AKILI, Ni Biashara gani inaweza kunitoa?.. Je, nikilima nitatoka? Nikiuza vitu vya kichina je? Nimefanya Biashara Fulani imenikata kabisa...sitamani tena Kufanya Aina Hiyo ya...
  6. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka huanzia mbali sana, kile unachokiona ni kitendo cha mwisho

    KUCHEPUKA HUANZIAGA MBALI SANA kile kitendo cha mwisho unachokiona au kusikia juwa safari ilianzia mbali sana
  7. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mke au mkengeukaji?

    Ukengeukaji maana yake Rahisi ni kuacha njia ipasayo au kukana lile kusudio lililolengwa iwe kiimani ama patano flani utaona kimandiko mke ni Msaidizi ukiwa msaidizi unatakiwa uifahamu kazi vizuri hapo utaweza saidia vyema sasa kama hujui unachotakiwa kukisaidia hii ni Hatari acha kuwa chama...
  8. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania DR. Nkwabi Sabasaba: Faida za ndoto

    kutana na mwanasaikolojia akueleze vizuri juu ya Ndoto Dr, Nkwabi Sabasaba Asilimia 90 zandoto tunazoota ndio mambo ynaokuja kuwa halisi watu wengi huota na badae hujaribu kuweka katika uhalisia Ndoto ni nzuri. Hata kanuni nyingi za mahesabu watu walikuwa wanaota Ndoto na Badae wanakuja kufanya...
  9. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania MAPENZI NI NINI?

    wengi wamekuwa wanashindwa kujuwaMapenzi nini nakuzani Mapenzi ni ya mke tu lah hasha waweza ita mama yako Mama Mpenzi Mapenzi ni hisia lakini tukumbuke Mungu ndio mwanzilishi wa Upendo na twatakiwa kuomba Mapenzi yake yatimie kwetu Hisia ndizo husababisha nakukolea mpaka kuitwa Mapenzi...
  10. kingMsuya

    JamiiForums Tanzania JINSI BINTI MWENYE ULEMAVU ALIVYOPOKEA ZAWADI #Yai TV

    HAPA NDIO UTAJUA UPENDO KWA WAHITAJI WAKISHAPATA WANASAHAU WALITOKA
Back
Top Bottom