kingMsuya
Member
- Nov 22, 2018
- 10
- 2
***TAJIRIKA na KUKU*** "Fuga Kibiashara" MTAZAMO unaamua 90% ya MAFANIKIO. Imekuwa kawaida kwa Watu kuwa na Hii AKILI, Ni Biashara gani inaweza kunitoa?.. Je, nikilima nitatoka? Nikiuza vitu vya kichina je? Nimefanya Biashara Fulani imenikata kabisa...sitamani tena Kufanya Aina Hiyo ya BIASHARA, Kwani imeniangusha Sana!! Naomba huu UFAHAMU uupate, HAKUNA Biashara inayolipa kuliko nyingine, HAKUNA Biashara kubwa au Ndogo kuliko nyingine BALI Ukubwa na Udogo wa Biashara...Kulipa au kutokulipa kwa Biashara Ni MATOKEO ya UFAHAMU wa Mwenye Biashara.. Biashara Hiyo Hiyo moja Kuna wanao Lia kuwa imewafirisi Pesa Zao nyingi..Na Biashara Hiyo Hiyo Kuna Watu wamekuwa Matajiri!! KUKU bado wanawalipa Watu na Kuku Hawa hawataacha Kuwafirisi Watu WAJINGA na WAZEMBE!! Nimejifunza kuwa Eneo kubwa linalohitaji uwekezaji Leo Sio Katika Pesa Bali katika AKILI, Kwa Nini? "AKILI haifuati PESA, Bali PESA inafuata AKILI" kuza Wazo lako kwa koboresha AKILi Sio kwa kutafuta Vikundi vya Mikopo au Wapi Utapata Mkopo nafuu, HAKUNA Mkopo nafuu pasipo AKILI BORA!! AKILI ikiboreshwa inatengeneza MTAZAMO chanya, hutakaa Uone Changamoto Kwenye Matatizo Bali utaona Fursa Kwenye Matatizo!!! Karibu "TAJIRIKA na KUKU", the Academy of Thinking!! VITABU REJEA: #01.Nguvu ya FIKRA #02.Tajirika na Kuku #03.Mbinu za Kutajirika katika Mradi wa Kuku Vyote vinapatika kwa hard & Soft Copy!! 0675 597 598 By Mentor Ahazi A.Ngessy, the founder