GEUZA KOVU KUWA USHUHUDA #YaiTV

GEUZA KOVU KUWA USHUHUDA #YaiTV

kingMsuya

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
10
Reaction score
2
Ukiona mtu ana Kovu waweza muliza ilikuweje hiyo hubakia kama kumbukumbu yakilichotokea siku za nyuma ila wako wanaendelea na maumivu mioyoni kwa kuliona KOVU sasa leo Geuza kovu kuwa ushuhuda na si maumivu Endelevu Songa mele una Hatima Njema hata Yuda alithibitisha makovu kwa Mesia ile ilikuwa ni Ushuhuda Tosha kuwa ndie yeye aliyeshinda Kifu na Mauti nawewe Ushindi unao Hakika acha kulia Lia

Kwa Masomo zaidi Tembelea

wwww.youtube.com/kingdombusinesstv
www.kingdombusinesstv.blogspot.com

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom