Recent content by kingjura

  1. K

    CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

    Kaka at first nilipata tabu sana kuhukum hoja Zako but sasa shaka ila endelea wapo walosema hawakukutana na boc njiani they suffer now ila badirika
  2. K

    habari za saa hizi?

    waungwana naomba nipate uelewesho juu ya hili hivi maneno HABARI ZA SAA HIZI? ni swali au salaam?
  3. K

    Sitta: Wabunge viti maalumu hawana umuhimu wowote

    jambo jema mi pia nautazama ubunge huu wa viti maalumu kama mzigo. si mbaya ukaondolewa hata leo
  4. K

    MWIGULU aipongeza CHADEMA!!

    unafiki na mbinu za kisiasa baadae wawambie wananchi mnaona si tunakubali kushindwa.
  5. K

    Funguka Mbunge Wako Yukoje?

    kaka wasi........ bunda bwana. ila huku maji tele hadi tunamwaga bunda hakuna shida ya maji hadi kwenye mabanda ya kuku. ila byeeeeeeeeeeeee we hv tired wid fake smile
  6. K

    hellow wana jf

    nimekuja tuungane ili kwa pamoja tuijenge nchi kupitia mawazo yetu
  7. K

    msaada katika hili la lugha

    hivi jamani naomba nisaidiwe napata shida katika namna itumikayo sasa kusahihisha mitihani uhusuyo masomo ya lugha je ni sahihi kusahihisha jibu tu? au pengine kufuatilia neno kwa neno ili kuchunguza mantiki ya lugha ilotumika na pengine hata kukosoa kwa lengo la kufundisha? okoa mimi katika hili
  8. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    sasa ni busara kumsaidia huyo bwana wa mtwara kabla yetu kuweka matatizo yetu pia jf ni eneo la msaada twaamini ebu tutende yatupasayo
  9. K

    Mishara ya walimu mipya

    kupigika forever
  10. K

    Mwalimu si wa kumchezea..tizama hii

    no reality tuweni serious katika kuwahukumu walimu hawa cause twaweza kuwa tunachangia kudidimiza elimu pasi kujua. endapo utanithibitishia ni shule ipi katika tanzania na darasa lipi? bila shaka tutajenga imani nawe kama sivyo basi wakati mwingine thread kama hii fb pahala pake
  11. K

    shughuri za kitalii huathili mazingira?

    naomba michango yenu wadau tuweze kupata hoja za kutosha juu ya namna gani hasa kuna ukweli kuhusu shughuri mbalimbali za kitalii kuathili mazingira yetu.
  12. K

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    mh nitaomba radhi endapo wanajf watanithibitishia kuwa cdm ndicho chama cha kwanza tz kuwa na ulinzi wake cause mi nimeondokewa imani kwa maaskofu hawa
Back
Top Bottom