CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
883
Reaction score
338
CHADEMA na ubaguzi ulipitiliza kikomo,walianza na ubaguzi wa ukabila na ukanda ambao kilasiku wanasema ni propaganda za ccm,wakatufundisha watanzania tuvibague vyombo vya habari TBC,UHURU,RAIA MWEMA,MWANANCHI,MTANZANIA,JAMBO LEO NA STARTV.

Wakaendelea tena tumbague ZITTO KABWE tusishiriki na Zitto wala mikutano yake,huko nyuma walitufundisha tuibague nchi yetu na Rais wetu wakati tunaishi Tanzania sijui walitaka tuhamie Rwanda sijui? walitufundisha tuwabague wapinzan bungeni CUF,TLP,UDP NA NCCR.

Leo hii wanatuhamasisha tuwabague wasanii waliojiunga CCM Kweli ni sawa?kesho mtatuambia tusiende Zanzibar sababu kiembesamaki mmepata kura 34,je hamuoni Sudan kusini leo wanabaguana wao kwa wao tena?

Acheni dhambi ya ubaguzi sisi ni watanzania tushindane kwa hoja,
 
attachment.php
 
Asante kwa ujumbe murua na angalizo zuri, MWENYE MACHO NA AONE.
 
hiki chama hakina chembe ya baraka za mungu
ni uhuni uhuni tu apa ndo upo!
 
Ucha upumbavu weka tamko rasmi la Chadema kususia kazi za wasanii,sio unatoa blabla hapa.

Hizo shutuma zimeibuka mitandaoni na mmemezeshwa mkameza nzimanzima bila kuhoji ni nani hasa alietoa tamko hilo.

Hao akina JB na wenzie walimalizwa na kifo Cha Kanumba ndio maana mpaka leo wanawayawaya tu.

Ni kipi walichokifanaya kuinua uigazaji Tanzania toka kifo cha Kanumba?

Wenye akili tulishaona kifo cha bongo Movie, hivyo leo akina JB kuibukia kwenye majukwaa ya kisiasa hatushangai

R.I.P. Kanumba Umetuachia waganga njaa tu hawana mbele wala nyuma wala hawajitambui na ndio kwanza wanaua juhudi zako ulizofanya kuinua sanaa ya Tanzania.
[
 
CHADEMA na ubaguzi ulipitiliza kikomo,walianza na ubaguzi wa ukabila na ukanda ambao kilasiku wanasema ni propaganda za ccm,wakatufundisha watanzania tuvibague vyombo vya habari TBC,UHURU,RAIA MWEMA,MWANANCHI,MTANZANIA,JAMBO LEO NA STARTV.

Wakaendelea tena tumbague ZITTO KABWE tusishiriki na Zitto wala mikutano yake,huko nyuma walitufundisha tuibague nchi yetu na Rais wetu wakati tunaishi Tanzania sijui walitaka tuhamie Rwanda sijui? walitufundisha tuwabague wapinzan bungeni CUF,TLP,UDP NA NCCR.

Leo hii wanatuhamasisha tuwabague wasanii waliojiunga CCM Kweli ni sawa?kesho mtatuambia tusiende Zanzibar sababu kiembesamaki mmepata kura 34,je hamuoni Sudan kusini leo wanabaguana wao kwa wao tena?

Acheni dhambi ya ubaguzi sisi ni watanzania tushindane kwa hoja,
Ni lini CHADEMA kilitangaza kuwa hawa wasanii wabaguliwe?Wana haki ya kujiunga na chama chochote.Wanunuzi wa kazi za wasanii hawa wakisusia bidhaa zao hata kama ni wanachama wa CHADEMA utasemaje ni tamko la CHADEMA?

1:Wasanii wana haki ya kidemokrasia kujiunga na chama chochote

2:Mashabiki/wateja wao wana haki ya kidemokrasia kupitia soko huria kuchagua bidhaa au huduma zao kwa kusapoti au kususia

3:Wasanii wanalalamika kuwa serikali ya CCM inaminya haki zao

4:Kambi ya upinzani waliwasikikiza na kupitia hotuba ya mwaka 2011/12 walifanikiwa kushinikiza sticker za TRA zikawekwa kwenye kazi zao

5:Wasanii bado wapo kwenye mapambano na wengi wameshindwa kwa kudhululumiwa hadi wengine kwa frustration wameishia kuwa wasafirishaji wa madawa.CCM kimewatumia jinsi mazungu ya unga yanavyowatumia wasanii.Kitendo cha kulaaniwa hiki

6:Usaliti wa wasanii hawa kwa wasanii wenzao ni kikwazo kwa mapambano ya wasanii katika kulinda haki zao kwa kuwa wasanii wengi waliwahi kujiunga na CCM lakini sasa wanajuta na mapambano yalizidi kuwa magumu katika harakati za mapinduzi ndani ya tasnia hii

Haki yao kidemokrasia ilindwe,haki ya wateja a mashabiki ilindwe pia kupitia demokrasia ya soko huria.Wana uhuru wa kuchagua/kususa kufikisha hisia zao juu ya wazalishaji na wasambazaji wa bidha pamoja na bidhaa zenyewe.
 
CHADEMA na ubaguzi ulipitiliza kikomo,walianza na ubaguzi wa ukabila na ukanda ambao kilasiku wanasema ni propaganda za ccm,wakatufundisha watanzania tuvibague vyombo vya habari TBC,UHURU,RAIA MWEMA,MWANANCHI,MTANZANIA,JAMBO LEO NA STARTV.

Wakaendelea tena tumbague ZITTO KABWE tusishiriki na Zitto wala mikutano yake,huko nyuma walitufundisha tuibague nchi yetu na Rais wetu wakati tunaishi Tanzania sijui walitaka tuhamie Rwanda sijui? walitufundisha tuwabague wapinzan bungeni CUF,TLP,UDP NA NCCR.

Leo hii wanatuhamasisha tuwabague wasanii waliojiunga CCM Kweli ni sawa?kesho mtatuambia tusiende Zanzibar sababu kiembesamaki mmepata kura 34,je hamuoni Sudan kusini leo wanabaguana wao kwa wao tena?

Acheni dhambi ya ubaguzi sisi ni watanzania tushindane kwa hoja,

Asante kwa ujumbe murua na angalizo zuri, MWENYE MACHO NA AONE.

hiki chama hakina chembe ya baraka za mungu
ni uhuni uhuni tu apa ndo upo!

attachment.php

attachment.php
 
Nenda Mahakamani kamq vipi!"
Ni wapi Chadema ilitangaza hivo.
 
1391439221742.jpg

SimwonI msanii wa kunishawishi ninunue kazi zake, wasanii gani hata hawajui wapo hapo kwa sababu gani.!!
 
Siuombe poo kama Lumbesa haibebeki,mmeshikwa pabaya umeamua kuja na maneno ya vibarazani...
 
CHADEMA na ubaguzi ulipitiliza kikomo,walianza na ubaguzi wa ukabila na ukanda ambao kilasiku wanasema ni propaganda za ccm,wakatufundisha watanzania tuvibague vyombo vya habari TBC,UHURU,RAIA MWEMA,MWANANCHI,MTANZANIA,JAMBO LEO NA STARTV.

Wakaendelea tena tumbague ZITTO KABWE tusishiriki na Zitto wala mikutano yake,huko nyuma walitufundisha tuibague nchi yetu na Rais wetu wakati tunaishi Tanzania sijui walitaka tuhamie Rwanda sijui? walitufundisha tuwabague wapinzan bungeni CUF,TLP,UDP NA NCCR.

Leo hii wanatuhamasisha tuwabague wasanii waliojiunga CCM Kweli ni sawa?kesho mtatuambia tusiende Zanzibar sababu kiembesamaki mmepata kura 34,je hamuoni Sudan kusini leo wanabaguana wao kwa wao tena?

Acheni dhambi ya ubaguzi sisi ni watanzania tushindane kwa hoja,

Wewe unaisema CHADEMA CCM wenyewe hawabagui wanaua kabisa
1. Yuko wapi Kolimba
2. Yuko wapi Imran Kombe
3. Yuko wapi Edward Moringe Sokoine

**Vipi ile video ya Lipumba inayomuonyesha akiwa Msikitini akihamasisha waislam Wamchague Kikwete?
** Vipi yule Mansour Himid mliyemfukuza na nafasi yake imezibwa jana, je mlichomfanyia ni sawa? je huyu anatofauti gani na ZITTO hadi nyie muonekane kumtetea Zitto huku huyo mkimfukuza.
** Vipi Bomu la Olasiti Bunge lilisitisha shughuli zake lakini Bomu la Soweto Bunge liliendelea?
** Inakuwaje Mauaji ya Mwenyekiti wa CDM Usariver wauaji walitoroshwa na hawajakamatwa hadi sasa huku wale waliohusika kumuua yule Mwenyekiti wa CCM kule Mbeya wamekamatwa na wameishahukumiwa KIFO?
***Akina Masogange walikamatwa na madawa ya Kulevya lakini tulisikia Lukuvi alienda South Africa na akaja na kihoja cha Phenobabitone, mbona Jack Clief kakamatwa na Madawa ya Kulevya hatujasikia wakiangaika kama ile ya akina masogange? Yaani mnabagua hadi wauza Unga wakati zote hizo ni biashara zenu.

**Ndugu Tambua CCM ndio wanaongoza kwa ubaguzi na ubaguzi wanaoufanya unaathiri maisha ya watanzania kwa asilimia kubwa sana
 
wakugawe wewe umekuwa chungwa hadi wakugawe?
 
Kaka at first nilipata tabu sana kuhukum hoja Zako but sasa shaka ila endelea wapo walosema hawakukutana na boc njiani they suffer now ila badirika
 
Washageuza eti hakuna tamko la chama!
 
Back
Top Bottom