Recent content by Kingdeeper

  1. Kingdeeper

    Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

    Mungu atakupa macho uone ucjali
  2. Kingdeeper

    Kuna watu wanaringa; kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli?

    Huyo matako yalikuwa yanamuwashaa tu hajabanwa na gogo...maana mzigo huwa utokaa popote ukiamua kutokaa ata kama kwenye kichaka angeshushaa hoja apo sio kuzaliwa cjui hajawahi...huyo tako lilikuwa linawashaa tu
  3. Kingdeeper

    Ungependa Serikali ifanye nini kuongeza chachu ya maendeleo ya watu na Taifa?

    Serikali isimamie haki,mihimili mitatu ifanye kazi tofauti,sio kuipongeza serikali kila siku, Katiba mpya inaitajika mapema,pia viongoz wetu wasiwe na madaraka katika chama pia haohao wanaiongoza nchi...nadhani tutawapita mpaka south africa kwenye swala la maendeleo vinginevyo na hapo tufanye...
  4. Kingdeeper

    Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

    Tulianza kusikia machuma yanaibwaa kumbee kwelii sasa wauza vyumaa chakavu itakuwa ndio sababu au YAPI...! Yanii tunapata shider kuelewa kabisa au pesa ndio shider cjui vipi ni vipi au ndio sihasaa maana siasa saivi hakunaa kabisaa...
  5. Kingdeeper

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Huna akili ata kidogo umeambiwa ni wafidhili huwa hawatoi kodi....mfano hizo shule zikifungwa au wakiamisha ufadhili mali zote zinakiwa ni za serikali ya tanzania shida apo serikali yetu inapenda watu wajinga ili wazidi kuweka matabaka waendelee kutuongoza...
  6. Kingdeeper

    Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

    Pambana kijana....mm ilinikuta iyo nipo na bajaj moja na gari tipper moja yakubeba mchanga cjasoma story yako mpaka mwisho ila pambana usisubiri kupata ajira man kazaaa mkubwa mwenzangu
  7. Kingdeeper

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    mimi nipo serious mkuu sio swala la wabongo mkoje... fanya negotiations nzuri maana kipato changu ni pesa inakuja alafu inapotea faster mkuu. bodaboda nilinunua kwa 1.5M na ilikuwa vzur tu
  8. Kingdeeper

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    mimi nipo serious ila pesa yangu nadhani ipo kidogo...nina shider na IST ILa ni 4M, kama utakuwa nayo by feb 28 nikutafute....
  9. Kingdeeper

    I need english speaking friend(s) as part of my preparation for IELTS

    I am not fluent speaker but i think my contributions as a partner will help all including me. An idea : Just create a group, then select your partners and invite them for the best practices.
  10. Kingdeeper

    English learning thread

    do nothing to shame nobody just speaking everyday....you will make it
  11. Kingdeeper

    GE2020 Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na baadhi ya mambo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Yote uliyosema hujakosea kabisa...kama una unakumbuka ITV na televisions nyingine nyingi zilikuwa zinatoa midaalo kuhusu maendeleo na kujitambua kama mtanzania, hivyo vyote vimepigwaa marufuku au mada itakayo ongelewa itabidi ikachunguzwe kwanza alafu watu wajadilii,kwaiyo tatizo sio ujinga wetu...
  12. Kingdeeper

    Kuishi pamoja kabla ya ndoa

    Nendaa kwa wazazi wakabariki then mfanyee mnachotaka maana wazazi ni sehemu ya Mungu apa duniani....izo nyingine ni taratibu na desturi za wageniii walio ziletaa apa africa na tukaziendeleza
  13. Kingdeeper

    Nilichogundua kuhusu macho ya wanyama kuwaka

    Kama umeona kwenye television macho yanawaka inakuaje sasa kwenye iyo situation....naona kama husemi ukweli
  14. Kingdeeper

    Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

    Lakini wamejua ata kuongea....yan ata walimu wenye vyeti fekii walio fukuzwa wanamshindaa asee hii ni hatariii
Back
Top Bottom