Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,143
- 1,404
Hapa ndo ajiulize baada ya kupata jibu afate taratibu zote kutoka kwa wazazi wampe baraka ndoa itafata hata baadae.Labda ungeuliza hivi vipi msichana akifa ghafla humo ghetoni jamaa atafanyeje.au chukulia huyo kijana wa kiume afe ghafla atafanyeje huyo binti.

