Bado tunaendelea kusisitiza Zito arudi kundini.
Ni ukweli kwamba Zito ananafasi kubwa sana katika siasa za nchi hii ila bado bado kuna sintofahamu ya ukweli kwamba Zito yupo wapi Katika hili gurudumu la mabadiliko ( ccm, ccm B, CDM, CDM B
nk) nikiwa kama mdau wa mabadiliko na Kijana ambaye...