Kiwanja Kinauzwa - Moshi Manispa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Kinauzwa - Moshi Manispa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kingamkono, May 7, 2012.

 1. K

  Kingamkono Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kinauzwa kipo pembezoni mwa Barabara kuu ya Moshi - Arusha, kinanyumba ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kinafaa kwa shughuli za biashara na makazi kwa mawasiliano piga 0783-740777 au 0712022399
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Weka mambo hadharani, bei gani? Wengine huku madalali
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  moshi arusha road kwa moshi ni kuanzia let say kibosho road mpaka sango ... semani wapi hapo ... ukubwa, kina hati n.k
   
 4. K

  Kingamkono Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tsh 30,000,000/= unakaribishwa size 20x22m
   
 5. K

  Kingamkono Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maeneo ya Kibosho road hati ipo- unakaribishwa
   
Loading...