Recent content by King_Jeke_Tile

  1. King_Jeke_Tile

    Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanitesa. Ni mimi tu ama tupo wengi

    Kwanza pole sana brother. Hata mm naamini kwa asilimia kubwa hiyo itakuwa imechangia. Inabidi brother upate msaada wa kisaikolojia, inaonesha wazi ni tatizo la kisaikolojia kabisa. Jaribu ku stay positive, tulia na upendelee kufikiria mambo mazuri mazuri.
  2. King_Jeke_Tile

    Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanitesa. Ni mimi tu ama tupo wengi

    Ebu tuambie kilikusibu nn hata kwa ufupi pengine ndio itakua mwanzo wa kupata msaada.
  3. King_Jeke_Tile

    Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanitesa. Ni mimi tu ama tupo wengi

    Brother kwani unafanya shughuli gani? Inawezekana kuna kitu kimepelekea hiyo hali kukutokea au umezaliwanayo?
  4. King_Jeke_Tile

    Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanitesa. Ni mimi tu ama tupo wengi

    Kweli binadamu tupo tofauti, yani unaogopa panya alafu nyoka haugopi?! Me nyoka ananishindaga ujanja, namuogopa aise ila kipanya hapana.
  5. King_Jeke_Tile

    Miezi miwili baada ya ndoa miss Tanzania afumaniwa, ala kichapo kizito

    Kwani na ww ulitaka uyaone na majeraha? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. King_Jeke_Tile

    Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Kusema kweli music producer wengi wabongo waliopita na wasasa wanatengeneza beat kali. Nikisema nitaje moja naona kama zingine naziacha. Ila tuanze na hii.... KINANDA BY MESEN SELKTA naikubali sana japo zipo nyingine nyingi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. King_Jeke_Tile

    Ukweli ni upi juu ya kuoa mtoto wa shangazi/baba mdogo.....

    Hata mm mtoto wa shangazi yako nisikuoe? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. King_Jeke_Tile

    Tuache utani; Mange Kimambi yuko sexy

    Huu ulioleta ww ndio utani sasa
  9. King_Jeke_Tile

    Wakati Ulimwengu una mabilioni ya galaxies: Ilikuwaje Mungu akaumba mamilioni ya Malaika lakini akaumba binadamu 2 pekee kwenye Galaxy ya Milk Way?

    Nadhani kutakua hamna satisfying reasons and answers kwa maswali yako kwasababu aliyeumba au kutengeneza hivyo vitu ni another being since umekiri kuna aliyeumba. Kimsingi kwa imani yangu tuliambiwa hivi Mungu katumbia nyota na vyote vilivyo angani, viwe kama mapambo na vingine vitulinde...
  10. King_Jeke_Tile

    Kitu gani unachokimisi kutoka kwa EX wako?

    Kwani what happened siwanasemaga kuna power of love mami?
  11. King_Jeke_Tile

    Kwanini wanaume wa siku hizi pulling imepungua sana?

    Nasikitika sana nikiona mwanamke analalamika kama hivi... Me nakung'uta mpaka akitoka pale anasema asante love, sijawahi pata kama hii
  12. King_Jeke_Tile

    Ukusanyaji mapato mradi wa Mwendokasi: UDART yamaliza mkataba na MaxMalipo, kusaini mkataba mpya na TTCL..

    Wabongo wengi tuna mihemko, hatuna logical reasoning na ndio maana maendeleo yetu ni duni, every challenge can be an opportunity, Sasa hapo ndio pagumu, tunaishia kulalamika tu.
Back
Top Bottom