Recent content by KING ROJA XVI

  1. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania walimu wa masomo ya biashara wamo kwenye kuachwa???

    Dah hata wale walimu wa elimu maalumu nao chali kisa wengine wamesoma masomo ya sanaa hatari.
  2. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

    Ni kweli kwa familia za kiafrika kuna umri inakubidi uondoke nyumbani kupunguza mzigo mkubwa kwa wazazi maana familia zetu akiondoka mtoto analetwa mjukuu kulelewa sasa kuna mda bora uwaache ao wajukuu nawe ukajitafutie riski kwengine.
  3. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Somo ulilolipenda sana darasani

    Somo la kutoroka kwa kuchupa nililipenda sana sena ukiingia maabara kufanya practical Mara ajali hiyo ya kubambwa na kula bakora za hatari.
  4. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi wanapenda mapenzi kinyume na maumbile?

    Katika uchunguzi wangu mdogo hata taka kwenye kiroba huwezi kuzikuta mlango wa mbele wa nyumba bali mlango wa nyuma Wa nyumba. 0712 ni uchafu uliokubuhu na ndio maana muumba kaleta hekma yake hata ktk kujisafisha wakati wa haja hukuoni kwa kuwa kuchafu. Wanaokula mungu anawaona
  5. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Walimu kupangwa moja kwa moja shuleni

    Waseme lini wao kila siku kauli tu uongo mtupu halafu wao ndo wa mwanzo kukemea kudanganywa
  6. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Walimu kupangwa moja kwa moja shuleni

    Naona wanazingua tu
  7. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Zanzibar Akubaliana na hoja ya Ally Kessy bungeni

    Ni nani anaeng'ang'ania ubaki huu muungano? Zanzibar zamani sana hatuutaki huu muungano kwa kuwa hatuna udugu wala faida nao ila Tanganyika bado wametukaba roho
  8. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Wizara 3 zaungana kuwasaka wazushi wa ajira za Waalimu

    Wangeanza kuihukumu tamisemi kwa kutoa ahadi ya uongo
  9. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Sawa mkuu
  10. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Nilishamaliza na bado najiona sijapoteza kusoma udom we endelea tu na msimamo wako hukatazwi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa kisiasa unavyoivuruga Zanzibar

    Yani tokea uanze kuzungumza kwenye huu uzi hujaja na data ndugu
  12. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Ni bonge la chuo ambalo ukienda na idea ya chuo bata unarudi kwenu. Nilipoona hapa vijana takribani mia wamedisco kwa kutofika GPA stahiki nikajua hapa si pa kawaida. Acheni kabisa udom panapigwa shule duh. Naheshimu vyuo vyote Tanzania na duniani na nakipenda chuo changu udom.
  13. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa kisiasa unavyoivuruga Zanzibar

    Si bure umetumwa. Unguja hakupo shuari una akili zile zile za kisonge. Kama hujui sababu kubwa ya Mara hii kipindupindu kukaa muda mkubwa ni ukosefu wa dawa hata zilipokuja patikana kwa wingi tatizo lilishakuwa kubwa. Hebu wacha ushabiki kidogo.
  14. KING ROJA XVI

    JamiiForums Tanzania Dk. Shein akutana na waathirika wa ubaguzi Pemba, aagiza wabaguzi wafutiwe leseni

    Na kitaeleweka sana ule wimbo wao mzuri unaoimbwa " wacha waisome namba ee sisi cuf mbele kwa mbele' na leseni wazichukue eee sisi cuf mbele kwa mbele" dah huu wimbo mzuri sana. Yani utuzulumu na pia ututishe duh
Back
Top Bottom