Recent content by king of zemunda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Miujiza hii inanishangaza,ninaomba uhakiki wenu kama ni ya kweli

    huyo ni pepo kabisaaa na kwa taarifavyako hato ondoka mpaka ufanyeaombi ya kutosha,kwa sasa anakujua vzri kwa hiyo ni vigumu kutengana nae mpaka ufanye maombi ya maana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hassan Marin wa TBC hafai kwenye TV

    tetesi nikwamba cyo riziki m2mzima huyo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Audi A4

    audi A4 ni gari zuri sn mm ninayo na limenishinda kwani niligonga jiwe gari ikaharibika mguu mbele ukawa na erro cjaweza kutengeneza kwani hakuna fundi wa hizo gari na nimeagiza spears over seas mpaka nimechoka
  4. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

    Kuna ajali mbaya sana imetokea mlima Sekenke muda huu na watu 4 amefariki dunia.Ajali hiyo ilitokea wakati gari la mafuta kufeli breki na kuingia darajani na kulipuka moto. Ni ajali mbaya sana ambayo ni vigumu kuielezea. ------------- ============ Wanainchi wakiangalia Lori baada ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Ubaya na Uzuri wa Toyota Carina Ti

    sasa kama umeshafanya utafiti naumeona inakufaa kwanini unatusumbua tukupe ushauri?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea Ally Edha Awadh atumia Mahakama kuzuia asiandikwe

    hawa ma bilionea wa kiarabu wanatabia mbaya sn suluhisho akaona amle kiboga mdeni wake na hilo mahakama halijaona nikosa?au nchi yetu inatambua ngono ya jinsi moja?wanahabari wa shikieni bango mpaka kieleweke
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kitongoji cha kitumbili ( kata ya iguguno ) , iramba mashariki wote ni chadema kwa sasa.

    hivi wwe nameless inahusiana vp kati ya CHADEMA na kijiji cha kitumbili?leta mada zenye mitazamo ya kitaifa nasiyo majungu ya kwenu uyalete kwenye jamvi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

    BXF ni namba za mwaka juzi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

    ngari ni nzuri snaa ila ni ya mwaka juzi star amenunua gari mkononi kwa mtuu?hela za mawazo hizo na anadhihirisha bado anatabia za tandale ambapo watu hununua suruali kwa mtu kisa inampendeza,brooooo zama show room achaaisha ya kishamba
  10. K

    JamiiForums Tanzania hatimaye Mh. Mwigulu aula apewa unaibu waziri wa fedha..,MH Mulugo apigwa chini Elimu

    najionea huruma m TZ mm kuongozwa na mtu kama adam malima ambae ni IV felia mwenye degreee za kuunga unga leo hii anapewa wizara nyeti kama hii aliyo gaiwa hivi punde cjui nchi inaelekea wp.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri

    jamaniii makatibu wakuuu ndo watendaji wa wizara mawaziri ni political positions hawana deal wacha wakae pembeni nchi isonge mbele
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mvumbuzi wa AK 47 afariki dunia

    katika mashine nazo zi feel ni AK 47 nani anayo aniuzie jamanii!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya simu aina ya Tecno phantom A2(F8)

    sumu haujaipata cm ya tecno phatom A+ ni bomba sn mm pia nilikuwa siipendi ila kwa sasa naipenda na naitumia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni zaidi ya uijuavyo

    yupo mwingine dodoma anauza cm hajui english na kiswahili pia hajui ukiuliza bei ya simu anatoa calculater na kuandika kiasi cha fedha na punguzo ka bei.ni wajanja sana hawa watu
Back
Top Bottom