Recent content by King Loto

  1. King Loto

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Wewe kutwa kucheka cheka kama umetiwa 🖕😅😅😅
  2. King Loto

    JamiiForums Tanzania Car4Sale INAUZWA Noah new Shape

    Nzuri
  3. King Loto

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj inauzwa bei sawa na Bure

    Nina bajaji kama unaitaka ni Pm N.B ni yangu.
  4. King Loto

    JamiiForums Tanzania Napauka mno kipindi hiki, nitumie nini?

    sio wala viboga bali waliwa viboga.
  5. King Loto

    JamiiForums Tanzania Biashara ya balo za mitumba

    😅😅😅😅
  6. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mashine za tofali thread!

    Kumbuka kuweka bei kwenye kila picha wengine ni wazee kusahau kupo
  7. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Haice ya milioni 10 kwanza iyo kichaka, alafu spare zilivo ghali. Hiace milioni 10 engine hakuna kitu Andaa piston ring Valve Capreta Timing chain Clutch center na plate zake Miguu yote na spare zake mabrake shoe, drum zake....n.k Alafu nauli ni hizi jero jero 35,000 kwa siku hupati. Hiace...
  8. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Unakazi ya kubadili ring piston za block na valve 😒😒😒
  9. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Wewe umejua cha kusema sasa na huwa iko ivo, biashara nyingi pasua kichwa au ukikuta iliyonyooka faida ni kiduchu na ukuaji wake wa pole pole.
  10. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Na ukichukua ya mkopo lazima upeleke na milioni mbili au moja.
  11. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Siwezi uza kiwanja nikanunua pikipiki 😂😂😂
Back
Top Bottom