Napauka mno kipindi hiki, nitumie nini?

Napauka mno kipindi hiki, nitumie nini?

Na nyie wanaume humu mmezidi bana....yani kila mwanaume mwenzenu akiuliza kitu kuhusu mafuta au ngozi yake ni kum attack na maneno ya mwanaume hivi mwanaume vile..so watu watembee kama mizimu? Yani wapauke kama wako mashineni wanasaga unga..
Kuhusu yule mwingine mnasemsema kila siku ni special case ila wengine wanataka kujua kwa sbb ya hali ya hewa...kuna muda mnajidefend sana kwny uanaume wenu kumbe ndo wala viboga wenyewe...msyuuuu😏😏
Ni kweli
 
sio wala viboga bali waliwa viboga.
 
Lakini nyie ndio mnatusimangaga oh sijui mara mimi mwanaume mwenye sura laini wa nini,oh mara sijui mi mwanaume mzuri au mweupe wa kazi gani,mimi nilikuwa mweupe nimejichakaza juani mpaka nimekuwa mweusi lakini nashangaa siwapati wadada wanaosema wanapenda wanaume weusi badala yake nawasikia tu wanaosema wanapenda wanaume weupe dah!
 
😁😁😁😄😄😄mimi nilikua napenda wanume weupe na Mungu akanisaidia nikampata...
Hao wa weusi utashangaa mtoto akitoka mweusi wanamchubua buhaha
 
Kuna wamama wanawachumbua watoto wao kweli
 
Mkuu tafuta equate oil au bramley tissue oil

Haya yote ni mafuta ya maji ambayo ni mazuri kwa ngoz isiyo na unyevu.
 
Screenshot_20250811_150543_Google.jpg
 
Paka mafuta ya breki ama mafuta ya cherehani uparanta wote unaondoka
 
Amani iwe pamoja nasi sote!
Tukiachilia matatizo yanayoendelea; cambodia, pakistan, gaza, yemen, drc, ukraine, sahel, gen z, brics, iran, Lisu, Pole Pole, gwajima, mchujo CCM na bilion ya Taifa stars.... hebu tuangazie pia la ngozi yangu.
Wajuvi wa ngozi za kiume.
Nipo dar.
Kipindi hiki napauka kila idara ya mwili.
Nakunywa maji sana lakini wapi.
Huwa natumia lotion ya Cocoa butter for men lakin ndo kabsa napauka zaid.
Na hivi wanaume hatujirembi sana nimetelekeza makalio yakapauka kama pembe ya faru Joni.
Nipake nini?
Au ndo nafukuzwa dunian kistaarab!
Hatua ya kwanza, kapime Grid ya Taifa

Hatua ya Pili, anza kumeza Peremende everidei.
 
Amani iwe pamoja nasi sote!
Tukiachilia matatizo yanayoendelea; cambodia, pakistan, gaza, yemen, drc, ukraine, sahel, gen z, brics, iran, Lisu, Pole Pole, gwajima, mchujo CCM na bilion ya Taifa stars.... hebu tuangazie pia la ngozi yangu.
Wajuvi wa ngozi za kiume.
Nipo dar.
Kipindi hiki napauka kila idara ya mwili.
Nakunywa maji sana lakini wapi.
Huwa natumia lotion ya Cocoa butter for men lakin ndo kabsa napauka zaid.
Na hivi wanaume hatujirembi sana nimetelekeza makalio yakapauka kama pembe ya faru Joni.
Nipake nini?
Au ndo nafukuzwa dunian kistaarab!
Uragowe mutama
 
Back
Top Bottom