Recent content by King kingo

  1. K

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    mimi nilikuwa nadhani ccm watafurahia kwa Lowasa kuondoka kumbe baada ya kufurahia wameumia ndio maana kila siku habari ni lowasa tu, wameshasahau kama wana mgombea wa kumpigia debe......
  2. K

    Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Ukiendelea kualalamika ndio huo udini utaisha??
  3. K

    Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Wote wanaolalamika kuhusu udini hawana hoja na malalamiko yao yameegemea zaidi kwa kuangalia majina ya watu na wala hamna hata mmoja aliesema anasali kanisa moja na “Ernest” kwa hiyo anamjua kuwa ni mkristo safi au anaswali msikiti mmoja na “Abdurahman” kwa hiyo ni mwislamu safi. Wote...
  4. K

    "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Mkuu hayo maneno hapo juu hakuna kiongozi wa ccm ya sasa anayeweza kuelewa na ndio maana hilo lichama linapoteza mwelekeo kila siku.
  5. K

    Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya, Wamo CCM na CHADEMA

    Mikakati yote ya kuibana Chadema imeshindwa sasa wanakuja na huu mpya wa madawa ya kulevya, kweli wabunge wa magamba vichekesho vitupu. Ushauri wangu kwa Magamba Msihangaike na chadema hangaikeni na sisi wananchi tunataka maisha bora na maendeleo, tupeni hivyo halafu muone kama kuna mtu atakuwa...
  6. K

    Tanzania excluded from EAC joint communique

    Hii wizara ya sitta ilitakiwa kufutwa na kuwa idara ya afrika mashariki pale wizara ya foreign affairs
  7. K

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    Mimi nadhani ni bora wangeendelea na kingunge kama katibu mwenezi kuliko huyo mzee kijana....
  8. K

    Mwigulu Nchemba nusura azichape na Msigwa leo

    Mwigulu hajui kupigana na ndio maana alienda kushika kifuani mtu anaejua kupigana angeanza kupiga tu na sio kushika kifua...
  9. K

    Wako wapi wanunuzi wa madini?

    Mkuu Huko kusini ni wapi?? Au unaongelea Tunduru???
  10. K

    Wako wapi wanunuzi wa madini?

    Mkuu Hayo mashamba makubwa ya copper yako wapi kwa hapa Tanzania?
  11. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu kichwa Asante nimekupata vizuri
  12. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ok sawa na je, huwa wanachukua muda gani kuanza kutaga? Na chakula chao ni kama cha layers wa kawaida na kwa mfano nikiagiza 200 nitapataje uhakika kuwa wote watakuwa wanataga? Kwasababu nilishawahi kufuga kuku wa mayai lakini sio wote walikuwa wanataga.
  13. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu kichwa Asante kwa ufafanuzi wako hivi ni shilingi ngapi hao kuku wazazi na inachukua muda gani mimi kuwapata toka nimetoa order? Na wanakuja wakiwa na umri gani?
  14. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu kichwa habari za kazi Mimi nataka kujua kwa mfano nataka niwe napata mayai ya kuingiza kwenye incubator yangu kama 1000 kila wiki inabidi niwe na kuku wazazi kiasi gani??
  15. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu kichwa mbovu, kama hapa Tanzania siwezi kupata kuku wazazi kwa ajili ya broilers. Je, naweza kupata mayai kwa ajili ya kuyatotolesha hayo hayo ya broilers kwa hapa Tanzania?
Back
Top Bottom