Kazi nzuri, làkini furaha ya wananchi ni kuona gharama za umeme zimepungua, majiko watayagawa làkini hayatatumika kutokana na gharama kubwa za umeme,na maagizo ya mh Rais hayatafanikiwa .
Ped sio kitu cha ajabu , huyo afisa unadhani hajui ped ikoje? Sasahvi mambo mengi watu wanasafirisha vitu visivofaa mfano miringi bangi n.k sioni kosa la maafisa wa usalama hapo labda kama anayemkagua abiria wa kike awe ni afisa wa kiume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.