Recent content by king herode

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kucope madhara baada ya matumizi ya dawa kali

    ED ni kushindwa kusimamisha vizuri na PE ni kutoa manii mapema sana kabla ya tendo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kucope madhara baada ya matumizi ya dawa kali

    heri ya mwaka mpya wajumbe. nipo mbele yenu nikiwa ni kijana wa miaka 34. kuna matibabu nilikuwa nafanyiwa kuanzia 2019 hadi 2022 ambayo yalihusisha chermotherapy, radiotherapy na BMT baada ya kuugua saratani ya damu. shida yangu kubwa ni mabadiriko makubwa ya mfumo wangu wa uzazi. kwa miaka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Huyu mwanao ndo maana mungu alimpenda zaidi, alikuwa na moyo wa pekee
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yanga SC imetufundisha Simba mahesabu Kila hatua kimataifa

    Simba yupo group la champions cup lenye wababe wa africa..., yanga yupo shirikisho cup lenye loosers wa champions cup waweza sema yanga ni bora kwa loosers
  5. K

    JamiiForums Tanzania Loan board acheni ubabaishaji lipeni hela za watu

    Inabid tuwaibukie siku hawa wahuni
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

    Kama ilivyokujenga
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kaswende na Gono noma

    As long as STDs inatibika ww endelea kuchakata mbususu
  8. K

    JamiiForums Tanzania 90% ya wafanyakazi wa Serikali wanapiga soga na story maofisini. Je, tunawalipa mishahara ya bure?

    Nilende TBS kwa ajili ya certification ya product pale HQ niliwakuta wanapiga story huku wanajishika vitambi mm mjasiliamali nifanyaje nikawa kila ninayempa tatzo langu ananitajia room ya kwenda kuulizia aice nilichoka siku hyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania 90% ya wafanyakazi wa Serikali wanapiga soga na story maofisini. Je, tunawalipa mishahara ya bure?

    Nilifanya application ya certificate fulan hv mwez wa 11 mwaka jana kwa title ya mjasiriamali nikakamilisha kila kitu na ada nikalipa certificate nimepata mwez wa 8 mwaka huu
  10. K

    JamiiForums Tanzania NIDA wamenijibu kuwa hawana mpango wa kutoa vitambulisho vya Utaifa tena

    Kuna jamaa angu anadownload hzo copy chap kwa 10000 nicheck 0715058481
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA tumepigwa😀😀

    Kuna jamaa angu ana download vitambulisho vya nida kwa 10000 tu 0715058481
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA tumepigwa😀😀

    Kuna jamaa angu ana download vitambulisho unakuwa na kopy kwa 10000 nichek 0715058481
  13. K

    JamiiForums Tanzania NIDA kuna uzembe, mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho cha Taifa

    Kyna dogo mtaan anaprint kwa 10000 tu chap 0715058481
  14. K

    JamiiForums Tanzania NIDA kuna uzembe, mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho cha Taifa

    Kuna jamaa kanidownloadia changu kwa 10000 tu chap sana namba 0715058481
Back
Top Bottom