Recent content by King Adolfo Osaka

  1. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nani kakudanganya kuwa pweza ni samaki?
  2. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Iwapo Rais John Pombe Joseph Magufuli atafanya haya yafuatayo, hakika atakuwa ni Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini mwetu.

    #4 - Watu wanaombea mabaya hiyo miradi!!! Hao watu wanaomba mabaya kwa nani? Na huyo waliomwomba amewapa jibu gani?
  3. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Ina uhusiano na hii mada?
  4. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Waliomsindikiza Mwalimu Nyerere safari ya kwanza UNO 1955

    Labda kwa vile hakuvaa baibui.
  5. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kumtangaza Mwl. Nyerere Mtakatifu kuratibiwa na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania

    Ndugu, kwani anayefuta dhambi humjui?
  6. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hivi huwezi kutoa comments zako kistaarabu hadi utukane?
  7. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Adam na Hawa walikua rangi gani?

    Reference?
  8. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania 14-Oktoba-1999: Ulikuwa wapi?

    Kweli kabisa ram!
  9. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Kisiwa cha kipekee kilichopo jijini Mwanza nchini Tanzania

    Shughuli kubwa kule ni uvuvi.
  10. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Kisiwa cha kipekee kilichopo jijini Mwanza nchini Tanzania

    We acha tu. Kuna sehemu inaitwa Ilugwa duuh, kule ni balaa.
  11. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Kisiwa cha kipekee kilichopo jijini Mwanza nchini Tanzania

    Semedo, Mlishaacha mambo yenu ya kuingilia wake za watu kwa nguvu (olusindiko) na kutakasa wajane (okusomboka) na kutisha wageni kwa mamba (bulalo jomukesye mugenyi)?
  12. King Adolfo Osaka

    JamiiForums Tanzania Tanga: Eneo la Mandera Wilayani Korogwe barabara kuu kutoka Kilimanjaro kwenda Dar es Salaam haipitiki

    Duuuh, hatari sana. Natamani nirudi Arusha maana niko barabarani (Arusha - Dsm)
Back
Top Bottom