Haki ya Mungu Job anakotupeleka siyo.nilishangaa sana alipojitokeza na kuanza kutetea suala la Wabunge kujiongezea posho wakati kuna mambo ya msingi ambayo kama kiongozi wa ngazi ile anatakiwa kuyasema na kuyasimamia.Hivi kweli atasema watu wana chuki naye kwa kauli zake za namna hii?hivi cv...
Viongozi wengi cyo wakweli. Hawapendi kuwaambia hali halisi wananchi pindi wanapotafuta kura.Wanaahidi vitu ambavyo viko juu ya uwezo wao kiutekelezaji ndiyo maana wanaposhindwa kutekeleza wananchi hawawaelewi na matokeo yake ni kuwachukia.Kwa hiyo asitafute sympathy kwenye vyombo vya habari...
hakuna anayetumiwa.huo ni usanii wa viongozi wetu wa sasa.hapo hakuna mwenye kumaanisha anachofanya zaidi ya pozi la kuwazuga wananchi,wakitoka hapo wanaenda kudai posho kwa kisingizio kuwa walienda kufanya kazi nje ya ofisi zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.