Watanzania hawagomi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania hawagomi!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by KAMBAKO, Jan 13, 2012.

 1. K

  KAMBAKO Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ukiacha Wanavyuo, watanzania ni waoga wa kugoma. Nikumbusheni ni lini watanzania wamegoma na kushinikiza serikali yao ikubaliane nao. Fikiria ni serikali gani inapandisha bei ya umeme kwa asilimia 40, kama si kujua kwamba hakuna chochote kitakachotokea.:canada:
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  wanaogopa virungu vya polisi
   
 3. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chama Chetu Mtaani oyeee! Zidumu fikra za mwenyekiti
   
 4. k

  kinehala Ihendeli Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi members.napiga hodi jamii forum.Watanzania wanahitaji kuchomwa sindano ya ujasiri
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sababu sio wengi wanaojua haki zao. Jiulize ni watanzania wangapi wame wahi kuipitia katiba ya nchi. Hamna serkali wala NGO inayowapa elimu ya uraia kwa ufasaha. Ni mbinu ya serkali kuwafanya wananchi wake wakati wote wfikirie wapi watapata mlo ujao, karo ya watoto, kodi ya nyumba na fedha ya kulipia umeme ili wasiwe na muda kutafakari muelekeo na mustakbal wa nchi yao. Hii ndiyo inayowapa fursa serkali ya kufanya maamuzi kufawatana na maslahi ya walio madarakani na sio nchi kwa ujumla.

  It is harder to crack a prejudice than an atom.
   
Loading...