Recent content by kinegax

  1. kinegax

    Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

    Kama hautojali nitafungua thread nyingine.. Ya success story. Nitakutag nikimaaliza kuindaa..nafikiri watu wengine pia watashare success stories zao hapo.. Ila kwa sasa naomba maudhui ya huu Uzi ya ubebaji box uundelee bila kuharibu mtiririko wake.
  2. kinegax

    Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

    Pia Nina rafiki zangu wenye age kama Yangu, wanamake a lot of money hapa hapa bongo...as they say, surround urself with ppo with the same mission as u..
  3. kinegax

    Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

    usishangae Aisee ni story ndefu but nilianza ujasiliamali@ the age of 18 na capital Mdogo sana, nilipomaliza form iv sikwenda form 6 though nilipata division 1. Niliingia college ingawa nilipata opposition kubwa ya ndugu.. BT nilikuwa na nia tangu mwanzo ya kutoka..hapo ndo safari ilipoanza...
  4. kinegax

    Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

    Kweli mkuu kumake ni popote iwe bongo au Nje, am only 23 nipo bongo I make more than 5000$ a month ni mjasiamali nimeinvest kwenye real estate, construction na nataraji kuinvest kwenye online real estate this year. Natoka kwenye familia ya kawaida sana..but I made it. Kutoka ni akili tu...
  5. kinegax

    Je wajua? Jinsi ya ku-extract Pure Gold kutoka kwenye vifaa chakavu vya electronics

    dasi besi haiitaji vifaa mechanized vya kusagia.. Unaweza kuvunja hata kwa nyundo.. Ni kidogo tu. Pia kila kitu kina changamoto kutoka ni kukabiliana na hizo changamoto Unaweza kucheki video pia hapa kwa uelewa zaidi
  6. kinegax

    Je wajua? Jinsi ya ku-extract Pure Gold kutoka kwenye vifaa chakavu vya electronics

    Habari yako Mwana jukwaa mwenzangu. Rejea kichwa cha Uzi hapo juu. Bila kupoteza mda.. Katika pitapita zangu kwenye mtandao nikakutana na hii kitu nikaona niwashirikishe wenzangu kwa akaeona inamfaa ataifanyia kazi. Baadhi ya parts za electronics hasa Simu na motherboards za computer zimekuwa...
  7. kinegax

    Jifunze kuingiza pesa kupitia Amazon E-Book Publishing

    Natumaini wewe usomae Uzi huu u mzima wa afya. Napenda kuchukua fursa hii kuuleta kwenu Uzi huu. Kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hili swala wa kupublish kitabu cha kielektonic yaani eBook kwenye mtandao wa amazon. Kama ww ni mhandishi mzuri wa story au topic mbali mbali zihusuzo maisha ni...
  8. kinegax

    Leicester City, Special Thread

    Leicester city na kamati ya ufundi
  9. kinegax

    Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Aisee kwa kutumia hizi receiver naweza kupata Chanel za soka hasa za ligi kuu ya england ili nije kununua?
  10. kinegax

    Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

    Hii ni sawa Na michezo ya betting haina tofauti..
  11. kinegax

    Kuwa milionea kwa kuwekeza katika mashamba ya miti ya mbao

    Uko mkoa gani na hayo mashamba yako wapi
  12. kinegax

    Nauza HP Laptop DV6 AMD

    Aina ya laptop ni hp pavilion dv6 Screen size ni 14 inch Processor nin 2.1ghz quadcore amd 6400 hd graphics Ram 4gb 500gb hdd Used for 8 months No scratches, no problem. Good condition Price 500,000/= Call 0754247488
  13. kinegax

    Am i the only one in this?

    Oxford dictionary inahusika hapa
Back
Top Bottom