kinegax
Member
- Jan 3, 2015
- 13
- 21
Natumaini wewe usomae Uzi huu u mzima wa afya. Napenda kuchukua fursa hii kuuleta kwenu Uzi huu. Kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hili swala wa kupublish kitabu cha kielektonic yaani eBook kwenye mtandao wa amazon. Kama ww ni mhandishi mzuri wa story au topic mbali mbali zihusuzo maisha ni vema ukatumia fursa hii kuandika kitabu chako na kukiuza kupitia amazon.
Nini cha kufanya:
1. Kwanza hakikisha unajifunza vizuri kupitia website ya amazon.
Ingia google search amazon eBook publishing. Au amazon self publishing
2. Kujiunga ni free haiitaji pesa yoyote
3. Hakikisha una PayPal account ili uweze kupokea malipo yako
4. Kitu cha muhimu za hakikisha kitabu chako ni unique. Kimesahihishwa na kupitiwa vizuri. Content matters than running into making money.
5. Hakikisha unacharge pesa ndogo kwa kuanza ili ujijengee jina kwanza.
6. Kwa kuwa waandishi wengi hakikisha cover page ya kitabu chako unadesign vizuri na inayovutia..
NB: Kuchapisha ni free. Lakini Amazon wana plans mbalimbali ambazo unaweza kuchagua. Lakini unaweza ukaingiza hadi asilimia 70 au 80 ya kila mauzo. Asilimia zinazobaki ni za amazon. Kumbuka hii pia ni biashara kama biashara zingine ina faida na pia INA changamoto.
HUU NI MJADALA OPEN. MWENYE MAWAZO ZAIDI, MWENYE KUFAHAM ZAIDI, NA MWENYE MAONI ZAIDI. TUNAOMBA MCHANGO WAKO..