Recent content by Kine Master

  1. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Endelea kutema nondo
  2. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Angalia Hii Screenshot Ili nikujibu Kwa ufasaha na upana zaidi
  3. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza tumia Google Adsense kuniingizia kipato

    Bila Kusahau Pixabay.com inaongoza pia Kwa Kutoa Picha Zenye quality ya hali ya juu Visit Now.
  4. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

    Nikiwasha Data katika Simu yangu first of all naanza Kufuatilia Blog maarufu za Kiswahili na Kiingereza na kiukweli nakua interested sana na baadhi ya uandishi unanipa motivation na kutaka nije na content Zingine tofauti Japo Style ya Ku-Delive ni hio hio
  5. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata viewers kwenye website au blog

    Habari naomba nikufungue macho kidogo Kama unatumia mtandao Wa Blogger Ili kuelewa Zaidi kuhama kutoka http kuja https maana yake ni kwamba unatoka http ambayo haipo secure kuja katika certificate ya Bure ya Google ambayo ni https Baada ya hapo Url ya Blog Yako utaona ina Kufuli la Kijani...
  6. Kine Master

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Blog yangu inagoma kuunganishwa kwenye Google Adsense

    This Guy still ana safari ndefu sana kama kweli kinacho mkwamisha ni Language anayotumia na Bado hata aki-change writing language Kuna challenge ya Spelling Errors Mwambie atumie Programu Such as Grammarly na Ginger Writing Checker Zote Available in the Google Play Store Market and App Store..?
  7. Kine Master

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗼 𝗦𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮 𝗺𝗷𝗶𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶

    Kaka fanya utaratibu ufungue blog Nina uhakika For 100 percent you will get many traffic sana tena fungua ya Kiswahili...?
  8. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata domain ya .com na hosting ya kudumu bure 2020

    Zipo toturial Kibao Ingia YouTube komaa nayo...
  9. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Blog Yako umetelekeza Miaka miwili iliopita...
  10. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Kiukweli nimeamini kwamba you are Pro Blogger na unajua unacho-ongelea pongezi sana kaka maoni Yangu binafsi kwa Blogger yeyote anaenza I mean beginner Hakikisha blog Yako ina template inayofanya kazi kwa speed Kisha blog Yako umeisajili Kupitia Google Search Console Ili kusaidia content zako...
  11. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini blogger wa nje wanapiga hela za adsense sana?

    This guy sio poa hata kidogo kwanza anakuwekea hata option ya kujisajili na Email kabisa...
  12. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa electronic dance music (EDM)

    Yap! Umetisha mwamba..
  13. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani nita hack account ya facebook au gmail

    IT wadogo sana hao
Back
Top Bottom