Jinsi ya kupata domain ya .com na hosting ya kudumu bure 2020

Kwa wale Wenzangu walio serious na adsense na website zao msijaribu kujiunga hosting na Infinityfree, you will regret!. Google hawapendi website inayokuwa "DOWN" kila baada ya masaa matatu wanachokifanya wanaiblock site yako kwenye webmaster tools kisha wanaondoa pages moja moja kwenye search engine yao.

Same to .tk domains. /Freenom
nakupa 90%
 
Mbona wanadai code zilizo tumwa kwenye no ile ya marekani na wakati umesema tuweke no yoyote
 
Back
Top Bottom