Recent content by Kinduchu

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Urambo Tabora nije Mahenge Moro Secondary
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe Mahenge njoo Urambo Tabora, mie nije huko. Ni PM kwa maelezo zaidi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Urambo - Tabora nije Ulanga - Moro. Sekondari. 0783025269
  4. K

    JamiiForums Tanzania Employment letter kutoka PCCB

    Vp huyo dogo kapata barua yake?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini-PCCB

    Hongera, Sasa kapige kazi sio kwenda kufidia muda ulikaa idle. Kapambane na Nyangumi.!
  6. K

    JamiiForums Tanzania PCCB kuna majina hayakuwemo kwenye Aptitude Test

    Mie nilijua umeandika majina ambayo hayakuwemo kwenye aptitude test yameitwa kazini, kumbe unatoa assignment? Jaribu kutetea point yako kwa mifano halisi sio kutoa kazi kwa wengine. !!! Na kwa nini Uhasibu tu maana hata yalivyotoka majina ya Oral hyo kozi ndo ililalamikiwa????
  7. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Ha ha ha , kazi kweli kweli, Taratibu mkuu!
  8. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Poa, Chapa Nyingine anasema kuna jamaa yake kaanza mafunzo Moro, unasemaje kuhusu hilo?
  9. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Ndugu vp mbona hujasettle mara Economics mara Accountancy, sasa nijue lipi?Ni kweli A/C walifanya Early March usaili, ina maana jamaa wanatumia LIFO katika kuita people? Maana wale wa mwanzoni bado!
  10. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Itamcost kvp mbali na kukosa kazi?
  11. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Hyo kozi mbona haimo kwa zile kozi walizotangaza ndugu? Kwan yy yupo kwa nafasi gani? (Quantity survey, Accountancy, Human Resources Management, Law, Procurement, Journalism, Information Technology, Highways Engineering, Building Constructions, Electrical Engineering, Land Management and...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Poa, ni wa kozi gani?
  13. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Taarifa alizotoa wapi?
  14. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Hongera zake, alipigiwa simu ama na wapo wangap huko Moro?
  15. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Poa ndugu, ngoja dogo aendelee kuvuta subira.
Back
Top Bottom