Employment letter kutoka PCCB

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
820
174
Habari zenu wana JF kuna dogo amepata kazi PCCB lakini hajapata barua ya hiyo ya call for employment ambazo, walisema wangetuma, dogo alitumia sanduku la barua la ofisi sasa imekuwa kero kila siku ananiulizia kama imefika na jana tu tumeangalia haijafika, hivyo nilitakakujua kama kuna mdau ameshapokea hiyo barua ili nimweleze dogo afuatilie kwa nanma nyingine inawezekana alikosea kuandika anwani.

Asanteni sana.
 
Huu mchezo unafanywa na masekretari. Barua hazitumwi. mwisho wa siku ionekane hutaki kazi. anapatiwa mwingine. afunge safari hadi ofisini kwao, zinakuwepo copy.
 
yupo intake ipi? kama Intake ya kwanza aende makao makuu ya PCCB, kama intake ya pili aendelee kusubiri.
 
Mkuu nashukuru,nimeshamshauri anaogopa wakijua hajaipata inaweza kuprintiwa upya kwa jina tofauti si unajua nchi

yetu ilipofika?..

Ni kweli ila hawawezi kufanya hivyo maana ushahidi upo kwenye tangazo!!! Mimi niliitwa kazini na secretariet ya ajira lakn ckupata barua hivyo niliamua kwenda na kuikuta haijatumwa and nobody cares!!!!
 
dah,ni hatari sana kumbe huwa inakuwa hivi watu wamewatafuta kwa michakato mirefu wakiwapata inakuwa tabu

kuwapa taarifa za kutosha.

Ni kweli ila hawawezi kufanya hivyo maana ushahidi upo kwenye tangazo!!! Mimi niliitwa kazini na secretariet ya ajira lakn ckupata barua hivyo niliamua kwenda na kuikuta haijatumwa and nobody cares!!!!
 
Habari zenu wana JF kuna dogo amepata kazi PCCB lakini hajapata barua ya hiyo ya call for employment ambazo, walisema wangetuma, dogo alitumia sanduku la barua la ofisi sasa imekuwa kero kila siku ananiulizia kama imefika na jana tu tumeangalia haijafika, hivyo nilitakakujua kama kuna mdau ameshapokea hiyo barua ili nimweleze dogo afuatilie kwa nanma nyingine inawezekana alikosea kuandika anwani.

Asanteni sana.

Vp huyo dogo kapata barua yake?
 
kuna dogo kaifuata mwenyewe.kakuta hipo inapigwa na vumbi tu. chukua hatua....
 
eti anaogopa. kwa hiyo amejificha uvunguni?

hebu ingia website yao, piga simu uulizie kama barua zimeshatumwa. kama hawaeleweki muambie aende, anaogopa nini? kama ipo ipo tu baba
Mkuu nashukuru,nimeshamshauri anaogopa wakijua hajaipata inaweza kuprintiwa upya kwa jina tofauti si unajua nchi

yetu ilipofika?..
 
Ameipata mkuu bila shida,lakini ni copy wakamwambia halisi wameshaituma kwenye sanduku lake la barua itafika tu,na

sasa hivi amesharudi mkoa na hiyo barua yake waliyomtumia kwenye SLP ameipata pia.

Vp huyo dogo kapata barua yake?
 
Habari wana jf hivi empoyment letter ya pccb huwa zinatumwa pamoja na intake ya kwanza na pili au inakuaje maana kuna dogo kapita kila hatua za usaili lakini hajapata barua lakini wao wameambiwa kwenye tangazo kulipoti ni mwezi wa saba , sijui imekaaje hii wakuu .!
 
Ameipata mkuu bila shida,lakini ni copy wakamwambia halisi wameshaituma kwenye sanduku lake la barua itafika tu,na

sasa hivi amesharudi mkoa na hiyo barua yake waliyomtumia kwenye SLP ameipata pia.
Uzi wa zamani! Bila shaka ameshafunga watu wengi kwa rushwa! Kazi za kinoko hizi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom