Recent content by kindamba2000

  1. kindamba2000

    Unyenyekevu

    Hivi unaamini unyenyekevu (humility) ndiyo silaha kubwa ya kufanikiwa kwenye LIFE? Mimi niko 50/50 bana 🙂🙂🙂
  2. kindamba2000

    Mchongo kwa wanaopenda kuandika Habari za Michezo kwenye Tovuti

    Je, Unafuatilia habari za michezo ndani na Nje ya Tanzania ? Unapenda kuandika habari hizo kwenye Tovuti? Basi kurunzitz.com ni tovuti inayoandika Habari za michezo za nje na ndani ya Tanzania..!!Wanatafuta watu watakaoungana nao kwa ajili ya kuilisha tovuti hiyo. Kwa mawasiliano tembelea...
  3. kindamba2000

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Antonio Conte amchana Jose Mourinho kuelekea mchezo wa EPL, United Vs Chelsea>>>http://kurunzitz.com/antonio-conte-amchana-jose-mourinho-kuelekea-mchezo-wa-epl-united-vs-chelsea/
  4. kindamba2000

    Antonio Conte amchana Jose Mourinho kuelekea mchezo wa EPL, United Vs Chelsea

    http://kurunzitz.com/antonio-conte-amchana-jose-mourinho-kuelekea-mchezo-wa-epl-united-vs-chelsea/
  5. kindamba2000

    Tetesi: Mkakati mzito wapangwa na watuhumiwa wakuu wa Escrow

    Haya mambo yanahitaji communication. Kauli mbalimbali za viongozi wa serikali kuhusu wanafunzi wanaopata ujauzito wakiwa shuleni | Kurunzi Tz
  6. kindamba2000

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Tangu lini yule jamaa akashaurika.......? hamsikilizi mtu,.....! keshasema mwenyewe kuwa hapangiwi cha kufanya yeye ndo kila kitu..............sasa hapo sembuse ushauri wenyewe utoke kwa mtu wa upinzani ndio hataki ata kusikia...kama wao kwa wao tu wamemshindwa .....ndugu yetu Lissu atasikilizwa...
  7. kindamba2000

  8. kindamba2000

    Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Duh akili ni nywele jamani, mwenzetu hana kabisa, apunguziwe ata za kwapani apewe tu, zitamsadia......
  9. kindamba2000

    Utabiri: Kanisa la Ufufuo na Uzima kufurika Jumapili hii kuliko siku zote

    I have to be there,,!!.......siweze kukosa... Inshallah.......
  10. kindamba2000

    Utabiri: Kanisa la Ufufuo na Uzima kufurika Jumapili hii kuliko siku zote

    Leo ndiyo naamini kuwa akili ni nywele, na kila mtu ana zake........!!!!!!!
  11. kindamba2000

    Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

    Tukae mkao wa kula kuna mengine mengi, mengi, makubwa zaidi ya haya, yako njiani yanakuja.........#Nape shujaaa wangu,
  12. kindamba2000

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Wale waliokuwa wanamshangilia Mkulu wanazidi kupungua #Viva Nape Nnauye, wewe ni JEMBE.....
  13. kindamba2000

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Kama huna vyeti bora ufunge mdomo wako....kusoma hujui ata picha....?.***********............YOU
  14. kindamba2000

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Kwani hile video huioni au NA WEWE HUNA VYETI......??????
  15. kindamba2000

    Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Mmmmh sasa tumefikia pabaya.....viva2020
Back
Top Bottom