Recent content by kind2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Uliweza kuadd academic details leo usiku au?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Mbona wanafanya marekebisho siku zikiwa zimeisha?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Nadhani tatizo sio mtandao, tatizo lipo kwenye mfumo nadhani kuna marekebisho walifanya ndio yanazuia kuvuta hizo taarifa, Nadhani watengenezaji wa mfumo wangeangalia shida iko wapi. Pia server zimezidiwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata spare aina ya boll joint (Mazda CX 5)

    Ni kweli nyingi zinaingiliana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Special thread: Chloride exide batteries

    Nimetumia hizi betry ndani ya miezi 9 hamna kitu inafikia wakati hata ukiicharge wapi haikubari
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya yafanyiwa majaribio. Yaenda Kigoma bila abiria na kugeuza bila abiria

    mbona maelezo zako yapo tofauti na hiyo video au sijakuelewa vizuri?[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    hivi ubora unaangalia nini emu tuambie
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afunga Maadhimisho ya Miaka 52 ya JWTZ ashuhudia Zoezi Amphibious Landing

    nasikia walikuwepo mgambo inamaaana nao walivaa gwanda?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

    Hili bus sijawahi liona
  10. K

    JamiiForums Tanzania Aliyeng’atwa ulimi kushtakiwa

    hapo atashinda mwanamke huyo maana ipo wazi atakua alikua anajitetea. ni vigumu sana mwanamke kiforce mapenzi mpaka atoe mtu ulimi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tunaofurahia ujio wa ndege isiyoweza kuruka hata kufika Kenya, tumeliwaza hili?

    hivi hii ndege imekuja na meli au, emu nipeni ni umbari gani toka Dar hadi Nairobi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya ATCL katika picha

    hapana ni pale inapokaribishwa tu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya ATCL katika picha

    water cannon ni ukaribisho wa ndege mpya
  14. K

    JamiiForums Tanzania Windows phone fans: Windows phone mobile 10 is officialy out

    umeona enheee
Back
Top Bottom