Recent content by kinanape

  1. K

    JamiiForums Tanzania NSSF Arusha mnasikitisha! Mfanyakazi analewa, anaingiaje kazini?

    ungetupia na picha!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Siyo watanzania wale wewe!! Si nasikia kuna utaratibu wa kubadilishana maiti!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri harusi ya Joshua Nassari hivi sasa hapa Usa Academy Ground

    Bendera za chadema za nini sasa hapo kwenye msafara???
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata afunguka kuhusu ndoa yake

    Dulayo anasema ''chezea vijana wa mujini wewe..?? Utakoma mwenyewe!!" Bwn harusi mjanja mjanja hasomeki bibie kazama gents....!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mke wako akiwa hivi au mchumba utafanyaje?

    lara 1 upo jameni!! Mekumiss mimi!!!!!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    RIP mama!! Pole sana zitto yote ya maulana! Inshallah mwenyezi mungu akujalie nguvu katika wakati huu mgumu..!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

    Mtapigwa na polisi..,. Msiandamane jama!
  8. K

    JamiiForums Tanzania angalia hiyo bajeti

    Majanga ila kana ukweli kidogo hako kabajeti!!!!!!!!!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mh. Godbless Lema ni kweli unaufahamu mji wa Arusha au?

    Kachukue buku 7 yako kwa nape!!!!!!!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mshitakiwa

    kumbe ukitulia zina chaji..... Uchambuzi mzuri sana!! Sas kwa kuwa hicho chama ni mshirika wa chama chako kinachotetea muungano si muamrishe chama hicho kimchukulie hatua asiendelee kuwavuruga. Kumbuka muungano ukivunjika mmeenda na maji maana huko zenji ndo mnakzoa kura......!!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lone Ranger-Ocean Road!!!!!

    Matunzo hamna!! wanajitafutia chezea nyinyiemu wamekula hadi njegele za hawa wadudu!!!!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania salaaaale!!!!

    nakumbuka enzi hizo tunaita kipwinto!!!!!!!!! anaona raha sana mliberali huyu!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lema aumbuka! Namba ya simu aliyodai ya Mulongo ilikuwa ni Uzushi

    mimi nilijaribu kuitumia pesa kwa m-pesa na jina ni la mulongo so ukweli kwangu ni kwamba ni ya mulongo mambo mengine ni Uongo!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA ni wakilishi wa wananchi ama chama?

    so what????????????
  15. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Kikwete aongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya mzee Ally Kleist Sykes

    acha uchochezi cdm we??? watu tuna majonzi ya kuondokewa na mpigania uhuru!!!!
Back
Top Bottom