Recent content by kimwery

  1. kimwery

    Chanjo za Corona ni ovyo kabisa

    Dah hali itakuwa mbaya kuliko ya corona yenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kimwery

    Mwezi wa Ramadhani umeingia Masheikh wako Jela

    Kipindi kile hali ilikuwa inatisha, watoto walikutwa wamefichwa kwenye manyumba huko tanga,morogoro,n.k kazi ilikuwa ni kuwalisha mafunzo jamaa walijipanga, ni bora wakae tu huko na wenye mamlaka wakijichanganya tu basi huenda hali itakuwa ni mbaya kuliko ya awali.kwa sasa hali sio mbaya mana...
  3. kimwery

    Mwezi wa Ramadhani umeingia Masheikh wako Jela

    Cha ajabu nikuwa tangu wakamatwe, hakuna mtu kamwagiwa tindikali, hakuna mgeni alie dhuliwa, wala mtu kupigwa risasi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kimwery

    Mateso wanayopata wastaafu

    Mzee wangu mwezi wa tatu wamemtaarifu kabakiza siku tisini kustaafu,yani mwezi wa saba ndo mwisho wa kazi hivo apeleke taarifa zake, anepeleka wiki ilopita wamemwambia mwajiri wako hakuweka pesa yako tangu mwaka 1998, nikwamba zaidi ya miaka 20, amekatwa pesa ila waliko peleka wanajua wao, huyu...
  5. kimwery

    Faida kugeuza gari yangu binafsi kuwa UBER

    Kama unaendesha mwenyewe sawa,ila kumpa mtu akuletee hesabu ,ni janga kubwa
  6. kimwery

    Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    Chichichichid benzeee,noma sana
  7. kimwery

    Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

    Kimbembe ni kupata muda wa kushika wembe.
  8. kimwery

    Kibao cha Kilometa 50 hakipo kutoka Korogwe kuelekea Wami

    Hali hii imepelekea ajali za mara kwa mara,ambapo kuna mji mdogo uitwao MADUMU ,taklibani watu wanne wamegongwa na kufa,hakuna tuta wala alama yoyote ya usalama,
Back
Top Bottom