Rais Mwinyi aka wa Mzee Ruksa ni muungwana sana. Kumbukumbu zaanza kumuacha

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Kongole kwake.

Pamoja na kuwa amekiri kuwa sasa anapoteza kumbukumbu lakini bado mkewe anaonekana kuwa msaada mkubwa.

Amsahau mwanae.

Asahau mahali alipo ni Chato, mlinzi amkumbusha.

Hotuba nzuri ya Kiswahili murua kabisa katika kumuaga Hayati Rais John Magufuli.

Ila kufuatia hali aliyonayo, huyu mzee ama apewe dakika chache tu tena kwa kusoma.

Ama awe anarukwa.
 
Back
Top Bottom