Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,809
- 10,787
Kwa three phase direct on line starting inawaka.Huwezi kuwasha au ku control hizo machine bila neutral wire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa three phase direct on line starting inawaka.Huwezi kuwasha au ku control hizo machine bila neutral wire.
Ndugu mpendwa Mteja wetuWasalaam wanajamvi hope mu wazima
Kichwa kha habari kinajieleza.
Labda nifafanue kidogo, asubuhi kabla sijaripoti job nimepigiwa simu na.wadau wangu kuwa Kuna shot imetokea.
Ni kweli nilipofika nimekuta kwenye main switch kumeungua vibaya sana japokuwa zile nyaya Zote tatu hazijaachana, ila ule waya mweusi neutral umekatika kabisa.
Cha ajabu umeme upo na mashine zote zinafanya kazi, je nini madhara maana kitu kiliwekwa kwa sababu maalumu.
Wataalam mnijuze neutral ina kazi gani na nini madhara isipokuwepo.
TANESCO wanapigiwa simu hawapokei maana ndio wenye jukumu la kukata umeme kwenye Transfoma.
NB: Kama hujui jambo pita tu, kejeli haziruhusiwi.
Neutral na earth zipo kwenye the same potential. Ukipima kati ya LIVE na neutral, kwa Tanzania unapata 220Vac.... na Ukipima kati ya LIVE na EARTH unapata 220Vav, na ukipima kati ya NEUTRAL na EARTH unapata 0V. Sasa hapo kwenye main switch yako, ninahisi , kama neutral imekatika, basi kuna pahala neural imeunga na earth ndani ya nyumba yako... na hivyo vifaa vyako vinaendelea kuwaka kwa kuwa connected kati ya LIVE na EARTH. Hakuna mashine itawaka kwa LIVE waya pekee kuifikia mashine hiyo, there has to be a complete circuitWasalaam wanajamvi hope mu wazima
Kichwa kha habari kinajieleza.
Labda nifafanue kidogo, asubuhi kabla sijaripoti job nimepigiwa simu na.wadau wangu kuwa Kuna shot imetokea.
Ni kweli nilipofika nimekuta kwenye main switch kumeungua vibaya sana japokuwa zile nyaya Zote tatu hazijaachana, ila ule waya mweusi neutral umekatika kabisa.
Cha ajabu umeme upo na mashine zote zinafanya kazi, je nini madhara maana kitu kiliwekwa kwa sababu maalumu.
Wataalam mnijuze neutral ina kazi gani na nini madhara isipokuwepo.
TANESCO wanapigiwa simu hawapokei maana ndio wenye jukumu la kukata umeme kwenye Transfoma.
NB: Kama hujui jambo pita tu, kejeli haziruhusiwi.
Na kama main switch yake in Residual Current Device (RCD) lazima itripMimi mtaalamu wa umeme ngoja nikupe kijana vitu ili i mzunguko wa umeme ukamilke lazima kuna kitu kinaitwa electric circuit hii maanake supply ( chanzo)2,load( mzigo) and resistance (ukinzani) hii ndo inawezesha mzigo wowote ambao umepata power kwenye supply kufanya kazi unless haiwezekani .upo hapo?? Swali
Haya jibu lako kazi ya waya neutral ni nini?
Kazi ya neutral ni kurudisha umeme kwenye supply maanale hivi waya wa live unapokea unapeka kwenye mzigo(load ) then mzigo unapokea waya wa nuetral unarudisha maana lazima kuw na mzunguko electric circulation upo hapoo? Swali
Haya tatizo lako ni kwanini neutral imekatika halafu bapo umeme upo ?
Kuna mambo mawili yanaweza kuwa yametokea.
1.inawezekana neutral imekatika halafu ikawa imepata kuungana na eath waya hivyo eath kuact as neutral japo inadisturb current flow kwenye conduct na ni hatari pia kwa mzigo(load) kufamya kazi bila ulinzi mda wowote unakula hasara .swali?
2.imawezekana neutral ieweka kwenye body curcuit hivyo kupeleka uwezekana wa body kuact kama neutral fanya kucheki kwenye body kama kuna curreny flow. Swali?
Mwisho zima umeme kwenye circuit brreakerfanya mpango wa fundi aje acheki hiyo ishhu haihitaji tanesco kivilee .
Katika mfumo wa njia tatu za umeme/three phase,kuna coil tatu/windings,zinazozalisha umeme,hizi windings tatu kwenye transformer au genereta kila coil au winding ina ncha mbili.Wasalaam wanajamvi hope mu wazima
Kichwa kha habari kinajieleza.
Labda nifafanue kidogo, asubuhi kabla sijaripoti job nimepigiwa simu na.wadau wangu kuwa Kuna shot imetokea.
Ni kweli nilipofika nimekuta kwenye main switch kumeungua vibaya sana japokuwa zile nyaya Zote tatu hazijaachana, ila ule waya mweusi neutral umekatika kabisa.
Cha ajabu umeme upo na mashine zote zinafanya kazi, je nini madhara maana kitu kiliwekwa kwa sababu maalumu.
Wataalam mnijuze neutral ina kazi gani na nini madhara isipokuwepo.
TANESCO wanapigiwa simu hawapokei maana ndio wenye jukumu la kukata umeme kwenye Transfoma.
NB: Kama hujui jambo pita tu, kejeli haziruhusiwi.
Sasa kama earthing ni mbovu circuit breaker haitakata na umeme unataendelea kupotea.
Well said, earth imekamilisha circuit hadi transformer ya Tanesco ie umeme unapitia ardhini hadi kwenye transformer ya mtaa wako. (Neutral ya transformer imeunganishwa na ardhi)Neutral na earth zipo kwenye the same potential. Ukipima kati ya LIVE na neutral, kwa Tanzania unapata 220Vac.... na Ukipima kati ya LIVE na EARTH unapata 220Vav, na ukipima kati ya NEUTRAL na EARTH unapata 0V. Sasa hapo kwenye main switch yako, ninahisi , kama neutral imekatika, basi kuna pahala neural imeunga na earth ndani ya nyumba yako... na hivyo vifaa vyako vinaendelea kuwaka kwa kuwa connected kati ya LIVE na EARTH. Hakuna mashine itawaka kwa LIVE waya pekee kuifikia mashine hiyo, there has to be a complete circuit
Well said, earth imekamilisha circuit hadi transformer ya Tanesco ie umeme unapitia ardhini hadi kwenye transformer ya mtaa wako. (Neutral ya transformer imeunganishwa na ardhi)
Kwa nini isiwake , wakati hamna waya wowote wa neutral unaoingia katika motor.Neutral na earth zipo kwenye the same potential. Ukipima kati ya LIVE na neutral, kwa Tanzania unapata 220Vac.... na Ukipima kati ya LIVE na EARTH unapata 220Vav, na ukipima kati ya NEUTRAL na EARTH unapata 0V. Sasa hapo kwenye main switch yako, ninahisi , kama neutral imekatika, basi kuna pahala neural imeunga na earth ndani ya nyumba yako... na hivyo vifaa vyako vinaendelea kuwaka kwa kuwa connected kati ya LIVE na EARTH. Hakuna mashine itawaka kwa LIVE waya pekee kuifikia mashine hiyo, there has to be a complete circuit
Kila circuit breaker inakiasi fulani cha current inabidi insense ili itrip kama fault itatokea. Na fault zinazotokea ni live na earth, neutral na earth.Kana earthing ni mbovu au Circuit breaker (earth leakage CB) ni mbovu ndipo umeme utaendelea kupotea??--- sijaelewa mkuu.
220Vac ni single phase mkuu... Motor unayoizungumzia ni 3 phase motor. Mto mada ametaka kujua single phase load inaweza fanya kazi ikiwa na phase pekee bila neutral? Jibu langu limejikita hapo... Hata hiyo ya 3 phase, ikipotea phase moja (single phasing) ili iendelee kufanya kazi na phase mbili, unatakiwa upunguze load to almos half its capacityKwa nini isiwake , wakati hamna waya wowote wa neutral unaoingia katika motor.
Sent using Jamii Forums mobile app
Neutral kwa earth is not a real fault... Kwnye transformer, star point (inaozaliwa neutral) huwa inaunganishwa na earthKila circuit breaker inakiasi fulani cha current inabidi insense ili itrip kama fault itatokea. Na fault zinazotokea ni live na earth, neutral na earth.
Sent using Jamii Forums mobile app
Body ndiyo earthHahaha aaa ila hilo suala la body linawezekana
Hutaki tabu kabisaBila neutral wire umeme hauwaki hata kwa bahati mbaya,kwakua umesema ulikuta kumeungua basi kuna uwezekano neutral ikawa kwenye body la mainswitch maana lile body ni la bati bati ndio mana unauona umeme unawaka.
Ila ingekua body la mainswitch n mbao naamini kwa shoti unayoiongelea umeikuta umeme usingewaka maana kuna Live tu bila neutral, sijui kazi ya neutral mimi maana umeme wenyewe nimeujua kwa kupgwa pgwa tu na mashoti ila usniulize maswali ya kitaalamu, ntakukimbia.
Noma sanaHebu lamba huo waya kwanza tujue kama umeme unapita au haupiti.
Ahsante Sana mkuu,ni kwamba tatizo lilitokea kwenye chanzo nikimaanishaMimi mtaalamu wa umeme ngoja nikupe kijana vitu ili i mzunguko wa umeme ukamilke lazima kuna kitu kinaitwa electric circuit hii maanake supply ( chanzo)2,load( mzigo) and resistance (ukinzani) hii ndo inawezesha mzigo wowote ambao umepata power kwenye supply kufanya kazi unless haiwezekani .upo hapo?? Swali