Recent content by KIMWAMU

  1. K

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Naomba mwenye nyimbo za Kolandoto kwaya hasa ule wa "USIKU WA SIFA" NA "SIKU ILE"
  2. K

    Mwanza: Mwalimu adaiwa kuwa na mahusiano na Wanafunzi 3 huku akilala na wawili kwa wakati mmoja kitandani

    Huyo jamaa ( hafai kuitwa mwalimu) ni shetani kabisa. Nilitegemea angekuwa mahabusu au gerezani
  3. K

    RC Dar es salaam, NEMC na Ofisi ya Makamu wa Rais tusaidie hili la Bar zilizo karibu na makazi kupiga muziki kwa sauti ya juu

    Sambamba na bar na majumba ya starehe, waangalie pia makanisa wanayopiga miziki na maombi kwa sauti kubwa usiku kucha au mchana maeneo ya makazi ya watu. Hatuingilii uhuru wa mtu kuabudu ila sauti zidhibitiwe
  4. K

    Ufafanuzi toka NMB Bank: Hatutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu

    NMB namba zenu za huduma kwa wateja hazipokelewi tunapowapigia simu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Pamoja na mapungufu yanayojitokeza tukumbuke kuna mzuri pia yanafanyika. Huu ni Uzi wa kutoa maoni na mrejesho. Kuwapongeza nmb kwa mazuri siyo dhambi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Pumzika kwa Amani shujaa wetu Mhandisi Fabiola Mushi

    Ingependeza zaidi kama wangetajwa watumishi wrote waliopoteza maisha kwenye ajali. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Niwapongeze kwa huduma nzuri kwa wananchi. Mara nyingine tunaotumia NMB mobile services huwa tunapata ujumbe kuwa huduma hii kwa sasa haipatikani au muamala haujakamilika. Cha ajabu unakuta fedha zimehamishwa kutoka akaunti ya mteja Ila hazijafika kule zilikotumwa,! Wakati mwingine unakuta...
  8. K

    Almanusura nimtoe roho Bosi wangu leo kwa kipigo kizito ofisini

    Khaaaah! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

    Ahsante kushukuru ndugu Mshana.
  10. K

    Halotel Mwanza acheni lugha chafu

    Sifahamu hawa halotel wanawatoa wapi hawa wafanyakazi. Shida ipo hata kwa wafanyakazi wao wa kiume!
  11. K

    Hakuna kitu kinauma kama kuona jeneza la mpendwa wako likishushwa kaburini

    Ni kweli kuwa kila nafsi itaonja mauti. Nilishuhudia make wangu uhai ukimtoka nikiwa pembeni take. Yote Tisa, hakuna ck iliyokuwa ngumu kama tulipokuwa tunampumzisha kwenye nyumba take ya milele. Ni miaka nane imepita sasa lakini nashindwa kwenda makaburini kushiriki mazishi yoyote Yale kwani...
  12. K

    Jambo gani ulilowahi kulifanya kila ukikumbuka unajuta

    Kumpenda mwanamke ambae nimeishi nae kwa miaka mitano kumbe ana mahusiano ya kimapenzi na mtumishi wa ofisi moja na mimi
  13. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi hawa jamaa wa NMB huwa wanasoma Maoni yetu wateja? Dijawahi kuona hata ck moja wakijibu hoja au malalamiko ya wateja!
  14. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB mobile Service nawapongeza kwa huduma zenu kwani zinatusaidia. MAKALAMIKO YSNGU KWENU NI PALE MNAPOKATA FEDHA ZA MTEJA KUTOKA SALIO LAKE KWENYE SIMU HATA PALE AMBAPO MUAMALA HAUJAKAMILIKA. Mfano, mteja anataka kununua muda wa maongezi, kutokana na tatizo la kiufundi kutoka NMB muamala...
Back
Top Bottom